Kiwango cha rushwa kwenye uchaguzi wa CHADEMA taifa ni aibu na najisi kwa demokrasia na upinzani wa Tanzania kwa ujumla

Mkuu,
Kuna ushahidi usio acha doubt 🧐 kwenye hii thread yako.. unge utoa..pengine ni porojo.
mtoa porojo ni Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi pekee,

ndie pekee hutoa tuhuma kwa Chadema na viongozi waaandamizi wenzake chamani.

muhesabuji kura wa Kibaraka kagawa mpunga mno, ulipomuishia na wajumbe bado waliua wanahitaji ndio akaona sasa akatafute kazi ingine ya kuhesabu kura, but pesa za kugawa rushwa zilimuishia na hakua na namna ingine 🐒
 
My friends, ladies and gentlemen!

Rushwa inatembezwa kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema Taifa kama njugu, bila aibu au kificho.

Hakuna upande unaogombea uongozi, wa kukemea upande mwingine, kwasababu wote wanashiriki kwenye uovu huo unao chafua haiba ya chama chao na uelekeo wa misingi yake. Sio wanachama ambao ndio wajumbe wapiga kura, sio viongozi wao wagombea uongozi na wapambe wao, wote wanatoa na kupokea rushwa, na kwa wakati huu bila kificho. Hakuna wa kumkoromea mwingine kwenye hilo ndani ya Chadema kwasasa.

Kwa mtazamo wako kama mdau wa siasa za Tanzania, ni chama gani cha siasa cha upinzani nchini, kinaweza kua mbadala wa Chadema na kuaminika tena katika suala zima la kukemea rushwa hasa nyakati za uchaguzi, ukiachilia mbali CCM na Serikali yake sikivu chini ya Dr Samia Suluhu Hassan ambao wamefanikiwa kudhibiti miaya ya rushwa kwa kiwango kikubwa zaidi tangu tupate uhuru?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
We jamaa mpumbavu kweli yani, baada ya kushuhudia mnaempigia chapua akimwaga mapesa ya mama Abdul wazi wazi sasa unataka kutuhadaa ionekane wote wanatoa rushwa. Kwanza mlishasema Lissu Hana hela ni mbangaizaji sasa hayo mapesa ya kumwaga kayatolea wapi ghafla hivyo??
 
Tunaomba uthibitisho
ni muhimu zaidi ule ushahidi wa Kibaraka kuhusu rushwa ndani ya Chadema na kwenye chaguzi za Chadema ukatolewa kwanza na mtoa tuhuma kisha na mengineyo yatakua yanafurahisha zaidi 🐒
 
We jamaa mpumbavu kweli yani, baada ya kushuhudia mnaempigia chapua akimwaga mapesa ya mama Abdul wazi wazi sasa unataka kutuhadaa ionekane wote wanatoa rushwa. Kwanza mlishasema Lissu Hana hela ni mbangaizaji sasa hayo mapesa ya kumwaga kayatolea wapi ghafla hivyo??
Hiyo ndio imeshangaza wengi kwamba Kibaraka hana pesa halafu mpambe wake bila aibu wazi wazi anagawa mpunga kwa wajumbe kama hana akili nzuri,

au yale yalikua makaratasi gentleman? halafu vile visungura alivitoa wapi?🐒
 
Tulia sawa ikuingia taratibu itakua mshaanza kuona dalili mbaya kwa mtu wenu that's why mnaanza kuamisha magori😅
 
My friends, ladies and gentlemen!

Rushwa inatembezwa kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema Taifa kama njugu, bila aibu au kificho.

Hakuna upande unaogombea uongozi, wa kukemea upande mwingine, kwasababu wote wanashiriki kwenye uovu huo unao chafua haiba ya chama chao na uelekeo wa misingi yake. Sio wanachama ambao ndio wajumbe wapiga kura, sio viongozi wao wagombea uongozi na wapambe wao, wote wanatoa na kupokea rushwa, na kwa wakati huu bila kificho. Hakuna wa kumkoromea mwingine kwenye hilo ndani ya Chadema kwasasa.

Kwa mtazamo wako kama mdau wa siasa za Tanzania, ni chama gani cha siasa cha upinzani nchini, kinaweza kua mbadala wa Chadema na kuaminika tena katika suala zima la kukemea rushwa hasa nyakati za uchaguzi, ukiachilia mbali CCM na Serikali yake sikivu chini ya Dr Samia Suluhu Hassan ambao wamefanikiwa kudhibiti miaya ya rushwa kwa kiwango kikubwa zaidi tangu tupate uhuru?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Vipi mbangaizaji naye kapata pesa za kugawa?
Au yule bilionea kaamua kutumia pesa kununua uongozi?
 
Una integrity kiwango gani kuijadili CHADEMA ewe mbogamboga?
nina credibility ya kueleza ukweli dhidi ya kiwango cha rushwa kinachotumika katika uchaguzi wa Chadema ngazi ya taifa.

ni aibu gentleman, ni najisi kwa demokrasia 🐒
 
Hiyo ndio imeshangaza wengi kwamba Kibaraka hana pesa halafu mpambe wake bila aibu wazi wazi anagawa mpunga kwa wajumbe kama hana akili nzuri,

au yale yalikua makaratasi gentleman? halafu vile visungura alivitoa wapi?🐒
Mamen kumpamba mama na kumpamba mwamba yaonyesha huna jema na chama chetu kabisa. Ulikosa dili la dodoma likaangukia kwa wasanii wakakutosa wewe na uwapambaniavo
 
Tofauti yako na Lucas, yeye ni kama saa mbovu. Ana nyakati chache anapopata utimamu na akili humrejea. Lakini wewe, you're beyond help. Ila tumaini bado lipo.
Gentleman,
rushwa ni adui wa haki, sifahamu utaeleza nini baada ya walioshindwa uchaguzi wa Chadema wakianza kuporomosha mayowe kuhusu rushwa,

sifahamu utakua unajionea kinyaa kwa kiwango gani gentleman 🐒
 
nina credibility ya kueleza ukweli dhidi ya kiwango cha rushwa kinachotumika katika uchaguzi wa Chadema ngazi ya taifa.

ni aibu gentleman, ni najisi kwa demokrasia 🐒
Hiyo rushwa imetoka wapi mkuu?
Wamekusanya hela A Join the Chain au wameokota wapi gunia la hela?

Unaelewa kabisa source za hela hizo zinatoka wapi
 
Tulia sawa ikuingia taratibu itakua mshaanza kuona dalili mbaya kwa mtu wenu that's why mnaanza kuamisha magori😅
no gentleman,
nataka kujua walichokua wanapewa wajumbe na wakala wa mgombea uenyekiti kinaraka ni pesa au rushwa?🐒
 
Hiyo rushwa imetoka wapi mkuu?
Wamekusanya hela A Join the Chain au wameokota wapi gunia la hela?

Unaelewa kabisa source za hela hizo zinatoka wapi
wakala wa kibaraka wa mambwenyenye ya magharibi anaweza kua kwenye nafasi nzur zaidi ya kueleza hilo gentleman,

maana kibaraka alidai hadharini kwamba yeye ni maskini hana,
ghafla wakala wake anazigawa kama njugu.

inafedhehesha sana, inasikitisha sana aise 🐒
 
Mamen kumpamba mama na kumpamba mwamba yaonyesha huna jema na chama chetu kabisa. Ulikosa dili la dodoma likaangukia kwa wasanii wakakutosa wewe na uwapambaniavo
Gentleman,
Kiwango cha Rushwa iliotolewa mlimani City kwenye uchaguzi wa Chadema Taifa, haijawahi kutokea tangu nchi yetu ipate uhuru 🐒
 
Back
Top Bottom