Kiwango cha rushwa kwenye uchaguzi wa CHADEMA taifa ni aibu na najisi kwa demokrasia na upinzani wa Tanzania kwa ujumla

Mkuu,
Kuna ushahidi usio acha doubt 🧐 kwenye hii thread yako.. unge utoa..pengine ni porojo.
mtoa porojo ni Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi pekee,

ndie pekee hutoa tuhuma kwa Chadema na viongozi waaandamizi wenzake chamani.

muhesabuji kura wa Kibaraka kagawa mpunga mno, ulipomuishia na wajumbe bado waliua wanahitaji ndio akaona sasa akatafute kazi ingine ya kuhesabu kura, but pesa za kugawa rushwa zilimuishia na hakua na namna ingine πŸ’
 
We jamaa mpumbavu kweli yani, baada ya kushuhudia mnaempigia chapua akimwaga mapesa ya mama Abdul wazi wazi sasa unataka kutuhadaa ionekane wote wanatoa rushwa. Kwanza mlishasema Lissu Hana hela ni mbangaizaji sasa hayo mapesa ya kumwaga kayatolea wapi ghafla hivyo??
 
Tunaomba uthibitisho
ni muhimu zaidi ule ushahidi wa Kibaraka kuhusu rushwa ndani ya Chadema na kwenye chaguzi za Chadema ukatolewa kwanza na mtoa tuhuma kisha na mengineyo yatakua yanafurahisha zaidi πŸ’
 
Hiyo ndio imeshangaza wengi kwamba Kibaraka hana pesa halafu mpambe wake bila aibu wazi wazi anagawa mpunga kwa wajumbe kama hana akili nzuri,

au yale yalikua makaratasi gentleman? halafu vile visungura alivitoa wapi?πŸ’
 
Tulia sawa ikuingia taratibu itakua mshaanza kuona dalili mbaya kwa mtu wenu that's why mnaanza kuamisha magoriπŸ˜…
 
Vipi mbangaizaji naye kapata pesa za kugawa?
Au yule bilionea kaamua kutumia pesa kununua uongozi?
 
Una integrity kiwango gani kuijadili CHADEMA ewe mbogamboga?
nina credibility ya kueleza ukweli dhidi ya kiwango cha rushwa kinachotumika katika uchaguzi wa Chadema ngazi ya taifa.

ni aibu gentleman, ni najisi kwa demokrasia πŸ’
 
Hiyo ndio imeshangaza wengi kwamba Kibaraka hana pesa halafu mpambe wake bila aibu wazi wazi anagawa mpunga kwa wajumbe kama hana akili nzuri,

au yale yalikua makaratasi gentleman? halafu vile visungura alivitoa wapi?πŸ’
Mamen kumpamba mama na kumpamba mwamba yaonyesha huna jema na chama chetu kabisa. Ulikosa dili la dodoma likaangukia kwa wasanii wakakutosa wewe na uwapambaniavo
 
Tofauti yako na Lucas, yeye ni kama saa mbovu. Ana nyakati chache anapopata utimamu na akili humrejea. Lakini wewe, you're beyond help. Ila tumaini bado lipo.
Gentleman,
rushwa ni adui wa haki, sifahamu utaeleza nini baada ya walioshindwa uchaguzi wa Chadema wakianza kuporomosha mayowe kuhusu rushwa,

sifahamu utakua unajionea kinyaa kwa kiwango gani gentleman πŸ’
 
nina credibility ya kueleza ukweli dhidi ya kiwango cha rushwa kinachotumika katika uchaguzi wa Chadema ngazi ya taifa.

ni aibu gentleman, ni najisi kwa demokrasia πŸ’
Hiyo rushwa imetoka wapi mkuu?
Wamekusanya hela A Join the Chain au wameokota wapi gunia la hela?

Unaelewa kabisa source za hela hizo zinatoka wapi
 
Tulia sawa ikuingia taratibu itakua mshaanza kuona dalili mbaya kwa mtu wenu that's why mnaanza kuamisha magoriπŸ˜…
no gentleman,
nataka kujua walichokua wanapewa wajumbe na wakala wa mgombea uenyekiti kinaraka ni pesa au rushwa?πŸ’
 
Hiyo rushwa imetoka wapi mkuu?
Wamekusanya hela A Join the Chain au wameokota wapi gunia la hela?

Unaelewa kabisa source za hela hizo zinatoka wapi
wakala wa kibaraka wa mambwenyenye ya magharibi anaweza kua kwenye nafasi nzur zaidi ya kueleza hilo gentleman,

maana kibaraka alidai hadharini kwamba yeye ni maskini hana,
ghafla wakala wake anazigawa kama njugu.

inafedhehesha sana, inasikitisha sana aise πŸ’
 
Mamen kumpamba mama na kumpamba mwamba yaonyesha huna jema na chama chetu kabisa. Ulikosa dili la dodoma likaangukia kwa wasanii wakakutosa wewe na uwapambaniavo
Gentleman,
Kiwango cha Rushwa iliotolewa mlimani City kwenye uchaguzi wa Chadema Taifa, haijawahi kutokea tangu nchi yetu ipate uhuru πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…