Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Idadi ya askari walipata ulemavu katika jeshi la Israel katika vita vinavyoendelea imepanda sana na kuongeza gharama za vita.
Askari hao wamekiri wenyewe kupigwa na makombora ya Hamas,ushahidi ambao hapo zamani haikutarajiwa kusikika kutoka jeshi la Israel.
Habari hizi ni miongoni mwa nishani za wapiganaji wa Hamas na pindi wakishikilia kupiga kwa kasi kidogo basi vijana wadogo wa Israel wataanza kukimbia kuogopa kuingizwa vita kama vile wanavyofanya wenzao wa Ukraine.