Kiwango cha ulemavu kwa askari wa Israel kinatisha

Kiwango cha ulemavu kwa askari wa Israel kinatisha

Endeleeni kujifariji kwa kulemaza na kuua watu ambao hata buku mbili hawafiki huku watu wa Gaza wakizidi kuteketea na makazi yao kuharibiwa.

Mkipata taarifa nzuri masikioni mwenu mnashangilia vita, halafu mkipata mbaya masikioni mwenu mnalilia ceasefire na kuwalaumu waarabu, waajemi, warusi, wachina kwa kutokuingilia vita na kusaidia, mara wamagharibi kwa kuchochea vita, hadi waswahili kwa kutokuilaani Israel na kutokuiombea Palestina.

Halafu mada zote hizo za sherehe, vilio na malalamiko wewe mtoa mada unazileta tu, hueleweki unataka amani Gaza ama shari.

Sijui huwa mna akili gani!

Sent using Jamii Forums mobile app
kujifariji vp wakati vitu vipo wazi mzee...watu buku mbili hawafiki lkn zitapigwa mpk mashoga wachakae...
 
Mtakuja na ngonjera zote lakini malengo ya Israel lazima yatimie, hakuna jiwe litaoalosalia juu ya jiwe, hamas ni makundi kama Alshababu, moslem brotherhood, Boko Haram, Janjaweed, ISIS, hata kama wangekuwa na nchi yao bado wangeichokoza Israel kutokana na sababu za kiimani, Israel hana chaguo lingine isipokuwa kuwaangamiza hamasi kwa gharama yoyote, baada ya miezi 5 mtatuambia. Mbaya zaidi geographia ya Gaza imekaa vibaya sana

Endelea kuwa na kibri tu
 
Back
Top Bottom