Kiwango gani cha mbegu za kiume kinaweza kupelekea mimba?

Umeona eeh, hapo unakuta anakazana nilimwaga nje nilimwaga nje. Na wenzake wa humu wanamjaza ujinga kwamba kuna baharia alimwaga ndani kabla yake.

Mwingine nikaona analalamika wakwake alimeza P2 mbele yake akishuhudia iweje leo anamwambia ana mimba[emoji23][emoji23].
 
Ichi kitu kilinipata , akatumia p2 , kumbe yai lishapevuka p2 ikagoma, Nashukuru Mungu Sasa Nina mtoto,
Acha kabisa, yaani kama yai limeshapevuka mimba inatunga ndani ya dakika kadhaa tu. Na P2 kazi yake ni kuchelewesha kupevuka kwa yai na sio kuharibu mimba iliyokwisha tungwa. Mara tu yai likishapevuka P2 haina kazi tena ni kusubiri kuitwa baba au mama.
 
Sikuwahi kujua we ni mtaalum hivi!
Watu na experience zenu..[emoji1787]
Kwenda huko[emoji41].
Kwenye hii sector mimi ni mtaalam kweli[emoji23][emoji23][emoji23] japo nilisoma sanaa.
 
Kwenda huko[emoji41].
Kwenye hii sector mimi ni mtaalam kweli[emoji23][emoji23][emoji23] japo nilisoma sanaa.
Kusoma na ma experiment ya kutosha huimarisha mtu hongera..🤣
 
Hata moja kamoja tuu kanatosha imradi ifike kwenye fallopian tube,
98%,unamwaga njee, 1% inakufa njiani, 1% inarutubisha yai
 
Wewe unasema hili, kulikuwa na kampeni flani ya upimaji Vvu, jamaa mmoja akaulizwa na mshikaji wangu kwa nini haendi kupima akasema yeye tayari ana maambukizi na anatumia dawa akaonyesha na kadi yake. Akaulizwa Kama akichepuka huwa anawalindaje wenza wake akasema yaani kabla ya kukojoa huwa anatoa mb.oo na kumwaga nje!!! Tulipigwa na ganzi tukajua huyu kaua wengi.
 
Hizi n dalili ya mtu kutaka kukimbia mimba. Wale jamaa mafundi wa kuogelea hivyo hata ukidondosha
kitone kisha mazingira yakawa safi ujue imoo hiyo, subiri kulea mimba kisha mwana. Hongera sana.
Umejuaje mkuu yaani umewaza kama mimi
 
hahaha! nimecheka japo inasikitisha
 
Kuna mtu kishapewa mimba huko, muda huo huo baba kijacho anatafuta mbinu za kupangua.
 
Dah alijua wazungu ndo ukimwi wenyewe dah kashauza gridi uyo
 
Daaaah
 
Vijiko viwili vile vidogo vya sukari ndo vinatosha kubebeshea mimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…