Kiwango gani cha mbegu za kiume kinaweza kupelekea mimba?

Ndio mimba anapata.

Na hapo ukiunganisha cha pili kabla haujaenda kukojoa ( mkojo wa kawaida) zile precum zinatoka na shahawa zilizobaki njiani so anapata tena mimba.

Na kama yai limeshapevuka hata akitumia p2 baada ya lisaa haiwezi kuzuia mimba.

Tumia condom siku nyingine.
Hata akituma p2 baada ya lisaa awezi kuzuia mimba? Kivipi yani
 
Wewe unatumiaga?
 
Hata akituma p2 baada ya lisaa awezi kuzuia mimba? Kivipi yani
P2 inachelewesha ovary kuachilia yai. Ovulation ikichelewa maana yake zile mbegu hazitakuwa na uwezo wa kusababisha mimba. Lakini kama ovulation tayari imeanza hauna haja ya kumeza tena maana zile hazizuii kutunga mimba bali zinachelewesha tu kutokea kwa ovulation.
Umeelewa sasa?
 
Na ovulation

Sasa nini maana ya p2 kama itashindwa kuzuia mimba kipindi cha ovulation?

Upo sahihi kuwa P2 kazi yake ni kuzuia ovulation isitokee lakin aifanyi hivyo tu, p2 pia ina Fanya kazi kwa kuzalisha uteute mzito kwenye cervix yako ambao utazuia shahawa kutembea na kupenya kwenye yai

Hata kama ovulation imeshafanyika haizuii p2 kufanya kazi yake
 
Sasa nini maana ya p2 kama itashindwa kuzuia mimba kipindi cha ovulation?

Upo sahihi kuwa P2 kazi yake ni kuzuia ovulation isitokee lakin aifanyi hivyo tu, p2 pia ina Fanya kazi kwa kuzalisha uteute mzito kwenye cervix yako ambao utazuia shahawa kutembea na kupenya kwenye yai

Unajua sperms zinachukua kwanzia dakika ngapi kufikia yai? Na ninavyojua kwenye ovulation period hiyo cervix inakuwa open kuruhusu shahawa kupenya moja kwa moja.
Sasa niambie hiyo P2 itazalisha huo ute saa ngapi? Wakati sperm zinakuwa zimeshaingia moja kwa moja?
 
Back
Top Bottom