Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
Shule nilifundishwa semen zinakuwa na virus. Ikiwa na maana ukifanya mapenzi na mtu kama ana vidonda au michubuko ukeni na uki cum inside her uwezekano wa kumwambukiza ni mkubwa hata kama wewe hauna michubuko tofauti na uki-pull out.Dah alijua wazungu ndo ukimwi wenyewe dah kashauza gridi uyo
Au sikusikiliza vizuri?