Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
Shule nilifundishwa semen zinakuwa na virus. Ikiwa na maana ukifanya mapenzi na mtu kama ana vidonda au michubuko ukeni na uki cum inside her uwezekano wa kumwambukiza ni mkubwa hata kama wewe hauna michubuko tofauti na uki-pull out.Dah alijua wazungu ndo ukimwi wenyewe dah kashauza gridi uyo
Shule nilifundishwa semen zinakuwa na virus. Ikiwa na maana ukifanya mapenzi na mtu kama ana vidonda au michubuko ukeni na uki cum inside her uwezekano wa kumwambukiza ni mkubwa hata kama wewe hauna michubuko tofauti na uki-pull out.
Au sikusikiliza vizuri?
Sisi mbona tulijua ni wewe.Basi ndio ikawa hivyo wapendwa. Nimesoma shauri zenu wengi wanasema ni mimba ngoja nisubiri matokeo maana ni mimi mwenyewe nimefanya hivyo.
DuhKitone tu mtu anapata mimba. Kesho nakwenda kupata mimba. Wewe unahofia mimba. Tuujaze ulimwengu jamani.
Wewe si umeshindwa kunipa,imenibidi nikaitafute kwingine. Jana nimeipata.
Wewe inazunguuuka wakati kidume nipo. Njoo site tuyajenge kwanzaWewe si umeshindwa kunipa,imenibidi nikaitafute kwingine. Jana nimeipata.
Dhaaaaaaa hii kabla ukubaliena na matokeaKuna mtu kishapewa mimba huko, muda huo huo baba kijacho anatafuta mbinu za kupangua.
Stress za kujitakia...Dhaaaaaaa hii kabla ukubaliena na matokea
Inakupa stress Acha kabsa yani
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ndo hapo sasaStress za kujitakia...
condom, p2 vyote wameshindwa?
Hapana P2 inazuia ndani ya masaa 72....[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ndo hapo sasa
Na hiv ikiwa na week moja hua inatolewa na p2 kweli
Eeeeeh[emoji87][emoji87]Hapana P2 inazuia ndani ya masaa 72....
Kuna mtu umem-mimba???
Tuma consultation fee nikupe maflekechee, usisahau ya kutolea pamoja na tozo ππEeeeeh[emoji87][emoji87]
Sasa hapa kwenye tozo ndo kunashidaTuma consultation fee nikupe maflekechee, usisahau ya kutolea pamoja na tozo [emoji16][emoji16]
Hongera ba kijacho....πSasa hapa kwenye tozo ndo kunashida
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Alaf kila nkimshawish kuhusu
Mafekeche inakua n shida n Kama
Hataki