Kiwango gani cha umaskini umekishuhudia kikakushangaza na kukusikitisha?

Kijiji gani hicho mkuu tuje? Ni wasichana wa umri gani? No kienyeji au slay queens?
 
Vijiji vya nachingwea ni mabinti tu siwezi kujua sana ila under 18
Dah ni hatari nitakuja huko mkuu nilikuja Mtwara mwezi jana nimenogewa nakuja tena this week end kuweka logistics za makazi then February nakuja rasmi hadi mwezi wa 6..

Bei za nyumba za kupanga zikoje huko? Gesti?
 
Nyumba kawaida tu bei za kitanzania si nyingi ziko flat rate kwa mikoani tofauti na majijini
 
Kule lushoto kuna sehemu nilikuta wanakula makabichi kama msosi..yaani yanachemshwa then wanakula hayo tu.
 
Umasikini utaishaje?

Kanda ya ziwa kijana wa miaka 20 ana watoto 8, jiulize atawalishaje , atawavalishaje nk,
Sisi tunalima hasa mkuu na hao watoto ni asset na nguvu kazi wakiingia shamba vumbi linatimka na hatukatai umasikini pia upo ila sio wa kutisha sana labda mvua zikigoma ndo hua patashika nguo kuchanika
 
Vipi uli wapa??
 
u uliwapa chakula mkuu au ndio ulikaza na mama kasema
 
Vijiji vya nachingwea ni mabinti tu siwezi kujua sana ila under 18

Nyumba kawaida tu bei za kitanzania si nyingi ziko flat rate kwa mikoani tofauti na majijini
Okay mkuu pamoja sana
 
Halafu inakuja serikali inasema Kagera ndo mkoa unaoongoza kwa kipato kidogo..
Wakati unaweza tembelea Wilaya nzima usikute hata nyumba ya udongo wala nyasi au ni kawaida kukuta Kijiji kizima msouth tu
 
We jamaa una inferiority complex kubwa sana ni ukweli kagera ni mkoa maskini sana kuliko yote
Umaskini unaangalia factor nyingi sana
 
Yaani kuna sehemu ukipita unasema sio Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…