Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Wale wamama wanaowauza watoto wao Kenya ile ni level tofauti kabisa.
View: https://youtu.be/QdsGIUymTgM?si=EvFsRuFL34cV8dqt
View: https://youtu.be/QdsGIUymTgM?si=EvFsRuFL34cV8dqt
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. kuna miaka tukiwa wadogo, tulishawahi kula maharagwe kila mtu kwenye bakuli,na kulala, hapakuwa na chakula kingine. siku ingine tulikula mbegu za magimbi (yale mashina yake). kwa wale waliozaliwa miaka ya zamani, Tanzania ilishawahi kutokea famine isiyo na mfano.Aisee kweli tunaishi kwenye umaskini wa kutupwa mikoa ya kusini huku vijijini kumezidi sana ninapopita kazini nakutana na hali za kutisha.
1. Watoto wanakula maembe wanashindia kama chakula sio kama matunda. Wazazi wapo shamba huko wamewaacha watoto nyumbani mpaka na vimwali wazuri unakutana nao shida vibaya mno.
2. Mademu kugongwa kwa buku.tulienda site sasa pale tumepiga camp baadae mademu wakawa wanakuja wenzangu wanawachukua wanagonga wanawapa 1000-3000 na mademu wanakubali kabisa wanapishana vibaya mno. Aisee dhiki isikie tu
3. Watu kula kisamvu tupu yaani kisamvu kinachumwa kinachemshwa kinaliwa vilevile kilivyo bila hata ugali maana unga hakuna msimu huu ndo kwanza wanalima.
4. Watu kula takataka zote kama wachina aisee wamakua masasi pamoja na uchu wa kutafuna njaa ila pia umaskini unachangia watu wanakula kenge, panya, chura wakubwa na wadudu sio poa.
5. Watu kunywa maji machafu ya kwenye madimbwi aisee watu wana shida ndugu zangu
6. Kuishi na mifugo kwenye kijumba, mtu anaishi na mbuzi kwenye chumba kimoja na kuku aisee kama unakaa mjini na unawasha taa na kuangalia TV tambua hauna hali mbaya.
Seen.Aisee kweli tunaishi kwenye umaskini wa kutupwa mikoa ya kusini huku vijijini kumezidi sana ninapopita kazini nakutana na hali za kutisha.
1. Watoto wanakula maembe wanashindia kama chakula sio kama matunda. Wazazi wapo shamba huko wamewaacha watoto nyumbani mpaka na vimwali wazuri unakutana nao shida vibaya mno.
2. Mademu kugongwa kwa buku.tulienda site sasa pale tumepiga camp baadae mademu wakawa wanakuja wenzangu wanawachukua wanagonga wanawapa 1000-3000 na mademu wanakubali kabisa wanapishana vibaya mno. Aisee dhiki isikie tu
3. Watu kula kisamvu tupu yaani kisamvu kinachumwa kinachemshwa kinaliwa vilevile kilivyo bila hata ugali maana unga hakuna msimu huu ndo kwanza wanalima.
4. Watu kula takataka zote kama wachina aisee wamakua masasi pamoja na uchu wa kutafuna njaa ila pia umaskini unachangia watu wanakula kenge, panya, chura wakubwa na wadudu sio poa.
5. Watu kunywa maji machafu ya kwenye madimbwi aisee watu wana shida ndugu zangu
6. Kuishi na mifugo kwenye kijumba, mtu anaishi na mbuzi kwenye chumba kimoja na kuku aisee kama unakaa mjini na unawasha taa na kuangalia TV tambua hauna hali mbaya.
Kweli Dom nako Kuna changamoto SanaUmasikini sio jambo jema kabisa.
Dah inasikitisha sanaKweli Dom nako Kuna changamoto Sana
Ukienda mnadani watoto wanagombania mifupa iliyoachwaa.
Yani mtu mwenye akilintimamu hawezi kuleta ujinga kama huu halafu una watu wanachukulia hili kama umasikini!Watu kula kisamvu tupu yaani kisamvu kinachumwa kinachemshwa kinaliwa vilevile kilivyo bila hata ugali maana unga hakuna msimu huu ndo kwanza wanalima.
Kuna nchi kama Ufaransa wanaita "cuisses de grenouille" unaona hapo Uille! Ufaransa kula chura wakubwa ni 'delicacy' Ukila chura tandale wewe ni Masikini? Kama huko sio kupotoshwa na utindio wa akili na fikra potofu ni nini hiyo? Chura wanaladha kama kuku! Chura wamejaa virutubisho(nutrients) halafu useme akila Nyamwene, ni Umasikini. Huo umasikini wa kula chura upo wapi?4. Watu kula takataka zote kama wachina aisee wamakua masasi pamoja na uchu wa kutafuna njaa ila pia umaskini unachangia watu wanakula kenge, panya, chura wakubwa na wadudu sio poa.
Kunywa maji ni Kunywa maji tu. Tena bora huku maji yana tope tu, tena unakuta tope limejaa Minerals, kuliko yale maji ya Ulaya. Mikojo na Mavi. Yani vinyesi vinachakachuliwa yanatokea maji! Kama huo sio umasikini ni nini? Maji yetu Waafrika ndio wanaokunywa Mabilionea Duniani sasa huo umasikini wa maji upo wapi? Itoshe juzi tu kuna ripoti inaonyesha maji ya huko yamejaa mapalastiki.5. Watu kunywa maji machafu ya kwenye madimbwi aisee watu wana shida ndugu zangu
Aaah wewe Sifa yako ni ubishi nishagundua ndo maana sipotezi muda kukukatalia pumba zako..ndo maana nimeuliza swale taja viashiria vya umaskini ulivyoshuhudia mbona huvitaji kwamba sisi sio Maskini amaKunywa maji ni Kunywa maji tu. Tena bora huku maji yana tope tu, tena unakuta tope limejaa Minerals, kuliko yale maji ya Ulaya. Mikojo na Mavi. Yani vinyesi vinachakachuliwa yanatokea maji! Kama huo sio umasikini ni nini? Maji yetu Waafrika ndio wanaokunywa Mabilionea Duniani sasa huo umasikini wa maji upo wapi? Itoshe juzi tu kuna ripoti inaonyesha maji ya huko yamejaa mapalastiki.
Wacha kutizama tamthilia ukadhani unayoyaona ni ya Kweli.6. Kuishi na mifugo kwenye kijumba, mtu anaishi na mbuzi kwenye chumba kimoja na kuku aisee kama unakaa mjini na unawasha taa na kuangalia TV tambua hauna hali mbaya.
Hawezi kukuelewa wakati fuvu lake halitambui kwa umasikini wake wa Kifikra. Ame dumaa kimafikirio.Namba moja kwa kijijin mbona kawaida sana😂😂😂ongezea na ndizi mbovu kwa Moshi kule.
Huijui Kagera vizuriHalafu inakuja serikali inasema Kagera ndo mkoa unaoongoza kwa kipato kidogo..
Wakati unaweza tembelea Wilaya nzima usikute hata nyumba ya udongo wala nyasi au ni kawaida kukuta Kijiji kizima msouth tu
Bora niwe mbishi, kuliko kuwa mpotoshaji, au wale wanaoishi kutukana Jamii za wengine kupata Likes.Aaah wewe Sifa yako ni ubishi nishagundua ndo maana sipotezi muda kukukatalia pumba zako..ndo maana nimeuliza swale taja viashiria vya umaskini ulivyoshuhudia mbona huvitaji kwamba sisi sio Maskini ama