CONTRARIAN
JF-Expert Member
- Jun 21, 2023
- 982
- 3,137
Mtaji wa ccm huoAisee kweli tunaishi kwenye umaskini wa kutupwa mikoa ya kusini huku vijijini kumezidi sana ninapopita kazini nakutana na hali za kutisha.
1. Watoto wanakula maembe wanashindia kama chakula sio kama matunda. Wazazi wapo shamba huko wamewaacha watoto nyumbani mpaka na vimwali wazuri unakutana nao shida vibaya mno.
2. Mademu kugongwa kwa buku.tulienda site sasa pale tumepiga camp baadae mademu wakawa wanakuja wenzangu wanawachukua wanagonga wanawapa 1000-3000 na mademu wanakubali kabisa wanapishana vibaya mno. Aisee dhiki isikie tu
3. Watu kula kisamvu tupu yaani kisamvu kinachumwa kinachemshwa kinaliwa vilevile kilivyo bila hata ugali maana unga hakuna msimu huu ndo kwanza wanalima.
4. Watu kula takataka zote kama wachina aisee wamakua masasi pamoja na uchu wa kutafuna njaa ila pia umaskini unachangia watu wanakula kenge, panya, chura wakubwa na wadudu sio poa.
5. Watu kunywa maji machafu ya kwenye madimbwi aisee watu wana shida ndugu zangu
6. Kuishi na mifugo kwenye kijumba, mtu anaishi na mbuzi kwenye chumba kimoja na kuku aisee kama unakaa mjini na unawasha taa na kuangalia TV tambua hauna hali mbaya.
Wazungu wanapaita " The biggest slum in Africa "Yes! inaitwa Makoko pale Lagos Nigeria wahuni zaidi ya laki 5 wanaishi juu ya maji.
Sio mpwayungu village huko? Dom ina maeneo ni makame mno na wakazi wenye hali duni sana.Nilishaenda huko mpwapwa dodoma kijiji kimoja kipo ndani ndani watu wanaishi kama wapo vitani aseee.
Mhm sio kwelHalafu inakuja serikali inasema Kagera ndo mkoa unaoongoza kwa kipato kidogo..
Wakati unaweza tembelea Wilaya nzima usikute hata nyumba ya udongo wala nyasi au ni kawaida kukuta Kijiji kizima msouth tu
Niliifika shinyanga vijijini nikamuuzia dogo mmoja wa bodaboda nimemzoea nikaambiwa na mkewe yupo kwenye ngome yake nyingine sikumuelewa ikabidi nimpigie simu akaniambia yupo kwa mke wake mwingine dah nikachoka. Hali ngumu Sana hasa kipindi Cha kiangazi.Umasikini utaishaje?
Kanda ya ziwa kijana wa miaka 20 ana watoto 8, jiulize atawalishaje , atawavalishaje nk,
Mbona kumbikumbi hata mjini watu wanakula Tu mkuuWatu kula wale Wadudu ndio mnaita kumbikumbi tena wabichi...Wale kama siafu tu siwezi kula.
Mpwayungu ipo mpwapwa kwani? Huko kuna kijiji unakutana na msela anakuambia vip kama unataka demu nikuunganishie mmoja unitoe !! Kumbe ni mke wake ili apate chochote tu.Sio mpwayungu village huko? Dom ina maeneo ni makame mno na wakazi wenye hali duni sana.
Sina hakika mkuu.Mpwayungu ipo mpwapwa kwani? Huko kuna kijiji unakutana na msela anakuambia vip kama unataka demu nikuunganishie mmoja unitoe !! Kumbe ni mke wake ili apate chochote tu.
Uhakika mkuuSina hakika mkuu.
Na anaridhika kabisa kiroho safi?
Sasa wanitukania Nini mkuu...Mimi mtu akianza matusi sibishani tena..We jamaa una inferiority complex kubwa sana ni ukweli kagera ni mkoa maskini sana kuliko yote
Umaskini unaangalia factor nyingi sana
Onyesha tusi kwenye hio statement kabla sijakujibuSasa wanitukania Nini mkuu...Mimi mtu akianza matusi sibishani tena..
Mtu anayetukana mara nyingi ana akili ndogo na uongozwa na emotions ndo maana mara nyingi ni tabia za wanawake...
Turudi kwenye hoja...Mimi nimetoa kulingana na my observation nawe unabidi utoe maoni Yako kwa ushahidi kubisha hoja yangu sio kunitukana
Moja ya Kijiji huko muleba mkoa wa Kagera...Mhm sio kwel