Kiwango gani cha umaskini umekishuhudia kikakushangaza na kukusikitisha?

Hatuna kizazi cha uwajibikaji hio ni changamoto kubwa sana
 
Kwenye takwimu hawaangalii picha mbona unapuyanga
Niko nadhibitisha hoja yangu sasa...kwamba Kuna vijiji huko Kagera Bukoba vijijini unaweza Kuta Kijiji kizima ni msouth na maghorofa hapa na pale.....
Wew unabidi ukatae hoja hii kwanza kabla ya kwenda kwenye takwimu
 
Niko nadhibitisha hoja yangu sasa...kwamba Kuna vijiji huko Kagera Bukoba vijijini unaweza Kuta Kijiji kizima ni msouth na maghorofa hapa na pale.....
Wew unabidi ukatae hoja hii kwanza kabla ya kwenda kwenye takwimu
Takwimu hawaangaliagi picha jifunze kwanza hilo
 
niliwahi kufika singida maeneo ya kiomboi miaka ya nyuma kidogo dah
 
Njaa hakuna kitu ndani na mama na wanae watatu ukimpa sahani moja ya wali anapeleka kwa mamake na hiyo sahani moja watakula milo miwili, niliskia huruma asikwambie mtu toka siku hiyo hilo likawa chimbo langu, sadaka zangu ndo napeleka pale na najiskia amani sana, kuliko nikipeleka kwa mwamposa
 
Fika wilaya ya liwale lindi utapata vyote hivyo chap kwa haraka, karibu ndugu mwekezaji
 
Utabarikiwa zaidi mkuu!
 
Hatari sana nchi hii serikali ya CCM ina laana kubwa sana, hali hiyo nafikiri ni sehem kubwa ya vijiji vya nchi hii! lakini kuna baadhi kuna unafuu vijiji kama vya Rukwa, Mbeya na Katavi hawana shida sana ya chakula.
Nahisi changamoto nyingine ni jamii kutopewa elimu vizuri ya kujiwezesha kiuchumi, kwa kuwa wana ardhi wakipewa mbinu nzuri ya kulima na maarifa zaidi, wanaweza kujitosheleza kwa chakula.
 

Wale wa 🇰🇪 kenya wa internally displaced people. Wale wanaishi maisha magumu sana.
 
Fika wilaya ya liwale lindi utapata vyote hivyo chap kwa haraka, karibu ndugu mwekezaji
Liwale mjini sio? Gharama za madarasa zinaweza kuwa kiasi gani Mkuu? Je wahusika ( vijana ) wanapatikana kwa wingi?
 
Hapo kwenye kuwagonga ndo nimeona upumbavu wenu hamna akili.
 
Masikini si masikini.
Masikini ni yule anayeona umasikini na asifanye chochote huku ana uwezo.
1. Wote labda usingeweza kuwatoa,ila hata mmoja ungeweza. Japo hakika na wewe ulitumia. Na jiulize,elfu 1000 wewe ukipewa utanunulia nini? Hata chupi kwake haipo. Huo si ukatili sasa?! Unadhani mtoto wa kike kwa hela hiyo,iwapo anapeleka kwao wakale,baada ya mtanange ule,ulifanya nini?

-Wanaoshindia maembe,uzuri ni kwamba wazazi wameenda shamba kuandaa mazingira ya kesho na keshokutwa. Vimwali vizuri,umeviona wewe,kwao wanajiona wa kawaida.

Na mengine mengi.
Sema,huu umasikini unaouongelea,chanzo ni binadamu hatupendani:
-mtu ana hela nyingi,amezunguukwa na watu wasiojiweza,ila raha yake waone anatembelea gari la bei mbaya,anakura starehe,chakula kizuri anamwagia mbwa, watoto sawa na wa kwake ndo hao wanalalwa kwa buku! Ambayo hata kilo ya unga hamna.
-Wengine wapo tayari kutengeneza siraha za kuua hao hao masikini wasio na hatia,kikubwa tu wao wajaze matumbo yao na familia zao.

Ili uone ambavyo masikini hao ndo matajiri,mia mia zao zinazokusanywa kwenye mambo mbali mbali,ndo zinatunisha vitambi vya mafisadi na wengine waliojaa roho mbaya.
Hao hao,wangewapata wa kuwaelimisha na kuwaelekeza na kuwasaidia, pengine badae na wao wangeondokana na hiyo hali unayoisema.
 
Halafu kuna watu wanatembelea V8 ya million 600
 
Umaskini utatutandika sana mpaka tupunguze kuzaa
 
Dar,

Baba,mama na watoto sita wanala chumba Kimoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…