Kiwanja cha Jay Dee kupigwa mnada baada ya kushindwa kulipa deni la mkopo



Teh teh teh mbona hujamjibu kakuuliza mnada umeendaje?
Kufurahi mtu akianguka ni ujuha wa kupitiliza na roho ya kwanini? Usikute box hizo mkuu kichwani zinaleta madhara
 
dume zima uliyekimbia nchi,

We jike zima, thibitisha kuwa mimi nimekimbia nchi.

Nchi unayotambua changamoto tele zinazoikabili,

Nchi gani ninayoitambua?

unafurahia kuanguka kwa mwenzio tena mwanamke, God will punish u;

Nani huyo aliyeanguka kwani? And https://jamii.app/JFUserGuide god, I don't give a damn about her.

big old man with hearttless and headless!!

Little old woman with heartless and headless
 
Kuuzwa kwa kiwanja ni pigo kubwa kwa gadna,nadhani wanasheria wa jide walimshauri vizuri
 
duh kwa hiyo jide amekubali kua historia kabla ya muda wake pole kwake
 

pokea like binamuuu
 
dume zima uliyekimbia nchi,
Nchi unayotambua changamoto tele zinazoikabili, unafurahia kuanguka kwa mwenzio tena mwanamke, God will punish u;
big old man with hearttless and headless!!

Mwanaume anayechukia maendeleo ya mwanamke ana matatizo sio bure, dada wa watu anajitahidi na maisha yake kaanguka kidogo tu wanamcheka, kuna vitu vya kumsengenya mtu kama kufumaniwa au umalaya ila sio kwa mambo ya maendeleo, maana wengine ata hvyo viwanja hawana
 
duh kwa hiyo jide amekubali kua historia kabla ya muda wake pole kwake

Hivi unajielewa wewe? Na huyo ray c awe nini kama jide kaacha historia, jide anakaa masaki ana maisha yake mazuri tu acheni uchawi
 

Maisha ya jide yanawatoa roho wengi, na bado jide sio type yao, mbwa kabisa hao
 

Nyumba gani? Ni kiwanja aiseh acheni kuongeza chumvi duh
 

defenitly woman's words to another woman,
very happy over her fellows temptation she is passing through!!
Vp mlimgombania bwana?,
now u see ur about to snatch him, go!!
Hela ukose , upendo ukose, utu ukose, hata akili ndogo tu?
Box hata uzeeke ur nothing bt ....
 
Mbona imekuwa haraka sana baada Ndoa kwisha na habash...???
 
Nyumba gani? Ni kiwanja aiseh acheni kuongeza chumvi duh

Mkuu mbona tangazo lenyewe linabainusha wazi kuwa ni nyumba!ukiangalia ilo tangazo la mnada baada ya title,sehemu ya introduction apo utakuta imeandikwa "dhamana/nyumba"...neno plot kwny ilo jedwali lickupoteze coz kisheria nyumba zoooote huwa zinahesabka kuwa ni sehemu ya ardhi..so kama itakuwa imejengwa ktk kiwanja kilishokwisha pimwa ndo tutaiterm kama plot no flani...kwa iyo inawezekana ikawa ni nyumba kweli au ata kiwanja kitupu coz ktk sheria zote ni ardhi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…