Plot4Sale Kiwanja cha makazi kinauzwa maeneo ya Chanika Mwisho - Dar es Salaam

Plot4Sale Kiwanja cha makazi kinauzwa maeneo ya Chanika Mwisho - Dar es Salaam

Gerco

Senior Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
154
Reaction score
62
Eneo: Chanika mwisho mtaa wa zogoali kwa wambili.
Bei: Tsh. 950,000/=

Umeme Upo na maji visima vipo karibu
Ukubwa : mita 13/13 au miguu 18 kwa 18

Hakuna Dalalii
Piga namba 0627864823
Huduma za kijamii kama shule na zahanati zipo karibu.

IMG_20200622_120205_58614.jpg
IMG_20200705_084225.jpg
IMG_20200705_084330.jpg
IMG_20200705_110622.jpg
IMG_20200705_110756.jpg
IMG_20200705_110805.jpg
IMG_20200705_110959.jpg
IMG_20200705_111000.jpg
IMG_20200705_105419.jpg
 
Kipo kimoja, cha kwangu ndo nakiuza hcho.
 
Ila Chanika mbali[emoji3064]
Inategemea na usafiri unatumia mkuu, kwa wanaotegemea usafiri wa umma yaani daladala kutoka M/complex had Chanika mwisho Tsh. 750 tu
 
Picha hapo chini ni muonekane wa barabara inayotoka center ya kwa wambili kuelekea kwenye kiwanja
 

Attachments

  • IMG_20200705_083235.jpg
    IMG_20200705_083235.jpg
    159.4 KB · Views: 2
Jirani na nyumba B ndo kiwanja kilipo
 

Attachments

  • IMG_20200706_111307.jpg
    IMG_20200706_111307.jpg
    246.6 KB · Views: 2
Timiza ndoto ya kuitwa baba/mama mwenye kiwanja kwa kuuziwa kiwanja kwa bei Sawa na bure👇👇👇
 

Attachments

  • IMG_20200705_110805.jpg
    IMG_20200705_110805.jpg
    309.7 KB · Views: 3
Haya wakuu msikubali kupaki magari eti kisa pesa ya mafuta, changamkieni fursa hiyo chukua kiwanja hicho weka nyumba ya kupangisha ,amin hutakaa upaki gari kisa pesa ya mafuta. Chanika mwisho kumenogaaaa!!!
 
Back
Top Bottom