Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,808
Ulibomoa kwa gharama za nani? wewe una huruma mbonaUkutane na jirani kauzu kama mimi wallah nabomoa kuna mwenzio alileta ujinga kama wako nilibomoa.
Mimi mwenyewe nilikodi vijana wakabomoa na kuna mwengine namuona anajipendekeza upande mwingine sijui kwa nini baadhi walidhiki na ukubwa wa viwanja vyao mtu ukinunua unajua hiki kitanifaa kwa matumizi ama laUlibomoa kwa gharama za nani? wewe una huruma mbona
huwa kuna majirani wanapendana kama ni uswahilini anahama.jiandae kabisa kwenda kwa sangamo, huyo jirani yako hata kuacha kama ulivyo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
watu km nyie tukiwakabidhi madaraka kuongoza nchi mnakuaga wezi kupindukia hamridhikagi.Kwa kweli siridhiki kuona kiwanja changu kimekaa kama sambusa.. Natamani kiwe square kama kiwanja cha mpira.
Sasa ili 'kuboresha mipango miji' ninapanga kumega kama mita moja kutoka kwa jirani ili kikae sawa.
Hapa ninakusanya nguvu ya tofali elfu mbili.. Nikija kuibuka naibuka na ukuta mmoja mrefu wa maana.
Mpaka jirani aje kushtuka atakuta kuna ukuta mzito kama ule wa kuzuia bahari wa Ocean road.
Je, kuna mwenye wazo tofauti?