YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,056
Yuko mwingine alichukua eneo la kuchimba cha shimo la majitaka la jirani yake ,Jirani yake akamwambia wewe umechukua eneo langu akasema ndio nimechuku sasa unasemaje nenda popote.Alikuwa na pesa zake.Jirani akamjibu kifupi tu siendi popote namshitakia mwenyezi MunguVisenti huwa vinadanganya sana!
mafundi wamelijenga bado kulifunika akawa yupo anakagua analiangalia.Ghafla akajikua haoni akatumbukia kwenye shimo akiwa katanguliza kichwa .JICHO MOJA LIKAPASUKA alipojigonga sakafu ya chini
hakurudi tena hilo jumba hadi leo ghofu
mijumba mingine mnayooana migofu isiyoisha huwa ina maneno.