Kiwanja changu kimekaa kama sambusa, ninapanga kumega eneo la jirani kiwe square. Sheria inasemaje kuhusu hili?

Visenti huwa vinadanganya sana!
Yuko mwingine alichukua eneo la kuchimba cha shimo la majitaka la jirani yake ,Jirani yake akamwambia wewe umechukua eneo langu akasema ndio nimechuku sasa unasemaje nenda popote.Alikuwa na pesa zake.Jirani akamjibu kifupi tu siendi popote namshitakia mwenyezi Mungu

mafundi wamelijenga bado kulifunika akawa yupo anakagua analiangalia.Ghafla akajikua haoni akatumbukia kwenye shimo akiwa katanguliza kichwa .JICHO MOJA LIKAPASUKA alipojigonga sakafu ya chini

hakurudi tena hilo jumba hadi leo ghofu

mijumba mingine mnayooana migofu isiyoisha huwa ina maneno.
 
Sambusa...! Kiwanja kiko kama Sambusa aisee..
 
kama ni kyamba cha mchaga jiandae kuhamisha ukuta ...πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Unauza bei gani? na wapi uko?
Nauza eneo na nyumba ipo kimara mwisho dar es salaam ml 75 nyumba no selfconten ina master, vyumba 3 vya kulala, sebule, eneo la chakura,stoo, jiko maji umeme vyote vipo fuluu tiles msauth kasoro rangi tuu ukubwa wa eneo 50-33-40 maelezo zaidi ibox tafadhari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiuze, ili uwaumize jenga nyumba, Hamia au pangisha.Iyo waliyochukua kwa nguvu waachie na uwape neno moja tuu nyie mmechukua ardhi yangu kwa zuluma Namuachia Mungu.Kisha endelea na hamsini zako mkuu. Ukiuza utakua umekubali kushindwa,usiwape ushindi kirahisi hivyo Mtu WA Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…