Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Shivaz, mrina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrina Hall [emoji38][emoji38]Shivaz, mrina
Karibu na Golden roseiko wapi mkuu
Ukimwi Pub tu ipo Buguruni Mnyamani.Wakuuuu poleni na majukum.
Ndugu yenu nimekuwa kikazi mkoani yapata miaka mwaka mmoja leo nimelejea jijini dar es salaam .
Ndugu zangu kipindi cha nyuma nimekula bata viwanja vilivyokuwa vinapiga mziki mkubwa watoto classic wanakata uno kama sinza lacherz, 5N mliman city, samaki samaki masaki, tabata KB, The great, kwetu pazuri , na vingine vingi.
Wakuuu naowaomba sana mnielekeleze kiwanja kinachojaza watoto Classic kwa sasa hapa jijini dar es salaam.
Natanguliza shukrani za dhati.
TNT hio bosdkiwanja,kinaitwaje mdau
TNTgongo la mboto mwisho pale karibu na kampala university
TUNES N' TONICkiwanja,kinaitwaje mdau
Duh mi nauliza jibu la uzi wako mkuu, ulipata hao watoto? Lengo la kuwatafuta ilikua ni nini?yaani ww katoto na jinsi ulivomlaini ntakuchapa fimbo laini