Kiwanja kikali chenye watoto classic Dar es Salaam

Kiwanja kikali chenye watoto classic Dar es Salaam

Wakuuuu poleni na majukum.

Ndugu yenu nimekuwa kikazi mkoani yapata miaka mwaka mmoja leo nimelejea jijini dar es salaam .

Ndugu zangu kipindi cha nyuma nimekula bata viwanja vilivyokuwa vinapiga mziki mkubwa watoto classic wanakata uno kama sinza lacherz, 5N mliman city, samaki samaki masaki, tabata KB, The great, kwetu pazuri , na vingine vingi.


Wakuuu naowaomba sana mnielekeleze kiwanja kinachojaza watoto Classic kwa sasa hapa jijini dar es salaam.

Natanguliza shukrani za dhati.
Ukimwi Pub tu ipo Buguruni Mnyamani.
 
Gongo la mboto mwisho wa rami kuna clab moja nimeisahau jina kidogo, nikikumbuka nitakutajia ingia hapo kuna totozi wengi sana claasic
 
Back
Top Bottom