Nauza kiwanja changu chenye hati ,huduma muhimu zipo umeme/maji. Kipo Kasera Kange na ukubwa wa zaidi ya ft 650.Bei Tsh 9500000.00. Simu 0712652110
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioHati ya wizara?
Kiwanja chako hakina eneo kina urefu tu ?Nauza kiwanja changu chenye hati ,huduma muhimu zipo umeme/maji .Kipo Kisera Kange na ukubwawa zaidi ya ft 650.Bei Tsh 950000.00.Simu 0712652110
Kikubwa hivo alafu anauza laki 9. Hamna majini yanayokula watu Yas kweli?Ukubwa zaidi ya futi 650? Mita 200
Mita 200 Yaani Hatua Mia Mbili Za Miguu???Ukubwa zaidi ya futi 650? Mita 200
Mita 200 ni sawa na viwanja viwili vya mpiraMita 200 Yaani Hatua Mbili Za Miguu???
Ohooo Hilo Eneo liko Maeneo Gani Pale Kasera (Kange)Mita 200 ni sawa na viwanja viwili vya mpira
Inategemea ni mraba au urefu tuMita 200 ni sawa na viwanja viwili vya mpira
Kama kina hati angetoa block na plot number. Hapo muhitaji angejua kila kitu.Kwa utaratibu ukubwa wa kiwanja unapimwa kwa Mita sio futi, mleta uzi acha usanii sema kina Mita za mraba ngapi au sema Urefu Mita ngapi na Upana Mita ngapi utaambiwa Mita za mraba hapa hapa.
Futi 650 urefu au upanaNauza kiwanja changu chenye hati ,huduma muhimu zipo umeme/maji. Kipo Kisera Kange na ukubwa wa zaidi ya ft 650.Bei Tsh 950,000.00. Simu 0712652110
Exactly, mtu unafanya zako search ikiwa clearn unampandia hewani mnamaliza biashara. Ila ni kama hajiamini na anachopanga kufanya.Kama kina hati angetoa block na plot number. Hapo muhitaji angejua kila kitu.
Total area ni 650Kiwanja chako hakina eneo kina urefu tu ?
Futi za mraba?Total area ni 650