Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kange Tanga

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kange Tanga

viking

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,183
Reaction score
1,322
Nauza kiwanja changu chenye hati ,huduma muhimu zipo umeme/maji. Kipo Kasera Kange na ukubwa wa zaidi ya ft 650.Bei Tsh 9500000.00. Simu 0712652110
 
Attachments

  • 20250208_155326.jpg
    20250208_155326.jpg
    620.1 KB · Views: 3
  • 20250208_155319.jpg
    20250208_155319.jpg
    412.5 KB · Views: 4
  • 20250208_155312.jpg
    20250208_155312.jpg
    511.7 KB · Views: 3
  • 20250208_155343.jpg
    20250208_155343.jpg
    693.8 KB · Views: 5
Kwa utaratibu ukubwa wa kiwanja unapimwa kwa Mita sio futi, mleta uzi acha usanii sema kina Mita za mraba ngapi au sema Urefu Mita ngapi na Upana Mita ngapi utaambiwa Mita za mraba hapa hapa.
 
Kwa utaratibu ukubwa wa kiwanja unapimwa kwa Mita sio futi, mleta uzi acha usanii sema kina Mita za mraba ngapi au sema Urefu Mita ngapi na Upana Mita ngapi utaambiwa Mita za mraba hapa hapa.
Kama kina hati angetoa block na plot number. Hapo muhitaji angejua kila kitu.
 
Back
Top Bottom