Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
wamo miongoni mwao na wengine ni wafuata mkumbo wasiojua walitendalo!Kwenye clip kuna watu wanashangilia mkuu akitoa tamko la kuwashughulikia watu wanaomkosoa,swali je hao wanaoshangilia Sio ndio wale watu wasiojulikana?
Ila weye jamaa ni balaa. Yaani maandishi tu yamekufanya umangemange kama kuruta nanga?Ongea utakacho kwani unashuhudia uongo tu. Hivyo hakuna heshima atakupa mtu mwenye akili nzuri tafuta mashabiki wapumbavu watafurahia ulichoandika... kama hujui nchi inavyoendeshwa mnazania ni mchezo mchezo tu... mtasononeka hadi mpate midonda ya tumbo... Usidhanie siku utaamika ukute nchi imekuwa safi huko kwako ni kuchafu pekee...
jambo usilolijua ni bora kunyamaza kuliko ushuhuda wa uongo hakika utapotea.
Mkuu mijitu kama hiyo usipende kujibishana nayo .Yalishamwaga dam zawatu yakachanganyikiwa .huoni hapo linasema hakuna mtanzania msafi .kwavike lenyewe lisheteni linachukulia watanzania wote wachafu.Na bado mtafarijiana sana lakini mwanzo wa mwisho wa walio panga kumuua Lissu umeshaonekana! Mara paap kiongozi wa wasio julikana kafa! Tutakula na kunywa mpaka asubuhi bill anatulipia Mungu.
Great thinkingwtf... Thread ya Kijinga i thought una jambo jipya muhimu umebaini kumbe upuuzi tu kama mlevi wa chibuku... Watanzania acheni kuongea pumba hadharani ulitakiwa ukatoe maoni haya kwenye thread zilizopita na sio kuanzisha thread as if Umebaini kitu kipya....
FICHA UPUMBAVU WAKO.
Unapoona watu wanashangilia mwananchi mwenzao akitishiwa maisha ujue taifa linaelekea kubaya kwani anayetoa kitisho anaanza kujiona kama mungu-mtu mwenye mamlaka ya kuamua nani aishi na nani afe. Hicho ndicho kilichofanyika hapa, hao washangiliaji wanabariki kitendo cha kiongozi wao kuwaua asiokubaliana nao.Kwenye clip kuna watu wanashangilia mkuu akitoa tamko la kuwashughulikia watu wanaomkosoa,swali je hao wanaoshangilia Sio ndio wale watu wasiojulikana?
Hapo nyuma kidogo niliwahi kuuliza, je yawezekana wakuu wa vyombo mbali mbali nchini walijua kilichokuwa kinaendelea kuhusu hatma ya Mh. Tundu Antiphas Lissu? Je yawezekana waratibu na watekelezaji walikuwa na uhakika Mh. Tundu Lissu hangeendelea kuwa hai saa 24 baada ya kumiminiwa idadi kubwa ya risasi mwilini?
Ukweli kwamba Mwenyezi Mungu kasikiliza maombi ya wengi na hivyo kumuepusha na kifo Mh. Tundu Antiphas Lissu, kumewachanganya wahusika hadi kila moja anaibuka na tamko lake! Je kuibuka kwa kauli na vitendo kutoka kwa viongozi mbalimbali huku hali ya Mh. Tundu Antiphas Lissu ikiendelea kuimarika, kunatupa picha gani?
Hali hii bila shaka imesababishwa na kiwewe kizito kilichowakumba washauri, waratibu, na watekelezaji wa jaribio la kigaidi la kumuua Mh. Tundu Antiphas Lissu! Tusubiri kuona mengi, kusikia mengi na kushuhudia mengi kwani walichopanga kutenda hawa waovu Mwenyezi Mungu kawakatalia na sasa wanahaha nafsi zao zikiwasuta!
Asife maana sio adhabu stahili kwake. Amshushe busha lile la kubeba na tololi au ampige ukoma ili aishi kushuhudia matendo yake yakilaaniwa huku akiwa na matesoNa bado mtafarijiana sana lakini mwanzo wa mwisho wa walio panga kumuua Lissu umeshaonekana! Mara paap kiongozi wa wasio julikana kafa! Tutakula na kunywa mpaka asubuhi bill anatulipia Mungu.
Ulifika salama nyumbani? Wazazi hawajambo?Mungu ni mwema.
Ugua pole Mnyampaa Lisu.
Wameanza kuumbuka hawa madhalimu wako
Kisu kimegusa mfupa.wtf... Thread ya Kijinga i thought una jambo jipya muhimu umebaini kumbe upuuzi tu kama mlevi wa chibuku... Watanzania acheni kuongea pumba hadharani ulitakiwa ukatoe maoni haya kwenye thread zilizopita na sio kuanzisha thread as if Umebaini kitu kipya....
FICHA UPUMBAVU WAKO.
Mara nyingi ukitumwa mission na mafia ukifail miserably kama huyu dogo lazima wakudedishe ma boss zako..huyu cjui wanamsibirisha nnBashite alianza kufeli kuanzia darasa la saba.
Form for alifeli.
Form six hapajui ajawahi kukanyaga.
Kuvamia kituo cha habari kafeli.
Vita vya shisha kafeli.
Vita vya madawa ya kulevya kafeli.
Jaribio la kumbambikizia Gwajima mtoto kafeli.
Kumteka Roma kafeli.
Jamani Upande wa Lisu ndio sasa kafeli zaidi tena zaidi.
Ushauri:
Omwana wa malanja nikikushauri utanisikia?
Hayo ni maoni ya mleta mada.wtf... Thread ya Kijinga i thought una jambo jipya muhimu umebaini kumbe upuuzi tu kama mlevi wa chibuku... Watanzania acheni kuongea pumba hadharani ulitakiwa ukatoe maoni haya kwenye thread zilizopita na sio kuanzisha thread as if Umebaini kitu kipya....
FICHA UPUMBAVU WAKO.
Mleta mada alichofanya ni kutia sauti mawazo ya watu wengiwtf... Thread ya Kijinga i thought una jambo jipya muhimu umebaini kumbe upuuzi tu kama mlevi wa chibuku... Watanzania acheni kuongea pumba hadharani ulitakiwa ukatoe maoni haya kwenye thread zilizopita na sio kuanzisha thread as if Umebaini kitu kipya....
FICHA UPUMBAVU WAKO.
Nchi haiendeshwi kwa kupiga watu risasi kwani yeye ni wa kwanza kuwa rais kwamba hatujawahi kuona marais wengine wanavyoongoza.Ongea utakacho kwani unashuhudia uongo tu. Hivyo hakuna heshima atakupa mtu mwenye akili nzuri tafuta mashabiki wapumbavu watafurahia ulichoandika... kama hujui nchi inavyoendeshwa mnazania ni mchezo mchezo tu... mtasononeka hadi mpate midonda ya tumbo... Usidhanie siku utaamika ukute nchi imekuwa safi huko kwako ni kuchafu pekee...
jambo usilolijua ni bora kunyamaza kuliko ushuhuda wa uongo hakika utapotea.
kwani ukiomba ukiwa vichochoroni Mungu hasikii?Hamna cha dua wala nini. Unafikiri hizo dua zako za vichochoroni zina tija? Ha ha ha, endelea na hizo dua zako.