Kiwewe kizito chawakumba walioshiriki au kushirikishwa katika jaribio la kigaidi la kumuua Mh. Tundu Antiphas Lissu!

Kiwewe kizito chawakumba walioshiriki au kushirikishwa katika jaribio la kigaidi la kumuua Mh. Tundu Antiphas Lissu!

Kwenye clip kuna watu wanashangilia mkuu akitoa tamko la kuwashughulikia watu wanaomkosoa,swali je hao wanaoshangilia Sio ndio wale watu wasiojulikana?
wamo miongoni mwao na wengine ni wafuata mkumbo wasiojua walitendalo!
 
Ongea utakacho kwani unashuhudia uongo tu. Hivyo hakuna heshima atakupa mtu mwenye akili nzuri tafuta mashabiki wapumbavu watafurahia ulichoandika... kama hujui nchi inavyoendeshwa mnazania ni mchezo mchezo tu... mtasononeka hadi mpate midonda ya tumbo... Usidhanie siku utaamika ukute nchi imekuwa safi huko kwako ni kuchafu pekee...

jambo usilolijua ni bora kunyamaza kuliko ushuhuda wa uongo hakika utapotea.
Ila weye jamaa ni balaa. Yaani maandishi tu yamekufanya umangemange kama kuruta nanga?
 
Na bado mtafarijiana sana lakini mwanzo wa mwisho wa walio panga kumuua Lissu umeshaonekana! Mara paap kiongozi wa wasio julikana kafa! Tutakula na kunywa mpaka asubuhi bill anatulipia Mungu.
Mkuu mijitu kama hiyo usipende kujibishana nayo .Yalishamwaga dam zawatu yakachanganyikiwa .huoni hapo linasema hakuna mtanzania msafi .kwavike lenyewe lisheteni linachukulia watanzania wote wachafu.
 
wtf... Thread ya Kijinga i thought una jambo jipya muhimu umebaini kumbe upuuzi tu kama mlevi wa chibuku... Watanzania acheni kuongea pumba hadharani ulitakiwa ukatoe maoni haya kwenye thread zilizopita na sio kuanzisha thread as if Umebaini kitu kipya....

FICHA UPUMBAVU WAKO.
Great thinking
 
Kwenye clip kuna watu wanashangilia mkuu akitoa tamko la kuwashughulikia watu wanaomkosoa,swali je hao wanaoshangilia Sio ndio wale watu wasiojulikana?
Unapoona watu wanashangilia mwananchi mwenzao akitishiwa maisha ujue taifa linaelekea kubaya kwani anayetoa kitisho anaanza kujiona kama mungu-mtu mwenye mamlaka ya kuamua nani aishi na nani afe. Hicho ndicho kilichofanyika hapa, hao washangiliaji wanabariki kitendo cha kiongozi wao kuwaua asiokubaliana nao.
 
Hivi ni kweli Bunge hawajui kuwa Chadema kwa kushirikiana na Familia ya Lissu ndio wanaomuuguza Mh. Lissu hospita Nairobi.

Spika hana Ruhusa ya Mh. Mbowe (KUB) ya kumuuguza Lissu Nairobi.

Iweje malipo ya michango ya Wabunge yafanyike hospital bila kuwapa taarifa Wanaomuuguza Mgonjwa?Chadema na Familia ya Lissu.

Tena kutoa taarifa ya malipo muda mfupi baada ya kushutumiwa kuweka mfukoni Fedha za michango.

Mbona hii Serikali inazidi kujiweka uchi mbele ya hadhara kwenye hili suala la Lissu,Wanajichanganya mno,kila siku wanazidi kuharibu badala ya kujenga,Je hatukuamini kuwa Lissu angepona?

Pesa zichangwe tarehe 8 sijui zije kulipwa tarehe 20 kweli inaingia akilini tena kwa kificho?

Huyu mama naye wa wizara ya afya,utafikiri sio mwanamke?hana uchungu wa kimwanamke?Mgonjwa ameanza kutibiwa tarehe 7 baada ya siku 14 Wizara inatangaza kutaka kumtibu popote duniani kweli?hapana Dada angu Ummy muongope Allah,kuwa na hofu na Mungu,duniani hamna Mungu Mtu na ndio mana Lissu ameweza kunusurika,Ummy wewe ni Muislam,unajuwa maana ya Jina lako katika Uislam,kumbuka heshima ya Jina lako!!

Yule aliyeapishwa Juzi,anajitokeza kufafanua mambo yasiyomuhusu,eti Jaji Mkuu,kiongozi wa Mhimili wa Mahakama anafanya Press na waandishi wa habari,tena anachagua upande,sasa ikija kesi mahakamani na huo upande ukiwa ndio mshtakiwa?itoshe kusema na aone kuwa heshima aliyopewa na Mbowe ni busara na Hekima kwa Mhimili wa mahakama,aone maendeleo ya mahakama zetu kabla yake licha ya changamoto chungu mzima,asikubali kutufanya tukose imani na mahakama katika uongozi wake.
 
Hapo nyuma kidogo niliwahi kuuliza, je yawezekana wakuu wa vyombo mbali mbali nchini walijua kilichokuwa kinaendelea kuhusu hatma ya Mh. Tundu Antiphas Lissu? Je yawezekana waratibu na watekelezaji walikuwa na uhakika Mh. Tundu Lissu hangeendelea kuwa hai saa 24 baada ya kumiminiwa idadi kubwa ya risasi mwilini?

Ukweli kwamba Mwenyezi Mungu kasikiliza maombi ya wengi na hivyo kumuepusha na kifo Mh. Tundu Antiphas Lissu, kumewachanganya wahusika hadi kila moja anaibuka na tamko lake! Je kuibuka kwa kauli na vitendo kutoka kwa viongozi mbalimbali huku hali ya Mh. Tundu Antiphas Lissu ikiendelea kuimarika, kunatupa picha gani?

Hali hii bila shaka imesababishwa na kiwewe kizito kilichowakumba washauri, waratibu, na watekelezaji wa jaribio la kigaidi la kumuua Mh. Tundu Antiphas Lissu! Tusubiri kuona mengi, kusikia mengi na kushuhudia mengi kwani walichopanga kutenda hawa waovu Mwenyezi Mungu kawakatalia na sasa wanahaha nafsi zao zikiwasuta!

They had possibly assumed that he would have kicked his bucket to the west on the spot hence no farther anticipated medical attention, having been gunned down with 38 bullets or within an estimated period of two days but alas God has healed/resurrected him, that is why the authority were flabbergasted, astounded and now awakening from slumber. I am just assuming and wondering as a layman or else people on ministerial posts are not confident in service delivery and only wait for order from above.
 
Na bado mtafarijiana sana lakini mwanzo wa mwisho wa walio panga kumuua Lissu umeshaonekana! Mara paap kiongozi wa wasio julikana kafa! Tutakula na kunywa mpaka asubuhi bill anatulipia Mungu.
Asife maana sio adhabu stahili kwake. Amshushe busha lile la kubeba na tololi au ampige ukoma ili aishi kushuhudia matendo yake yakilaaniwa huku akiwa na mateso
 
wtf... Thread ya Kijinga i thought una jambo jipya muhimu umebaini kumbe upuuzi tu kama mlevi wa chibuku... Watanzania acheni kuongea pumba hadharani ulitakiwa ukatoe maoni haya kwenye thread zilizopita na sio kuanzisha thread as if Umebaini kitu kipya....

FICHA UPUMBAVU WAKO.
Kisu kimegusa mfupa.
 
Bashite alianza kufeli kuanzia darasa la saba.
Form for alifeli.
Form six hapajui ajawahi kukanyaga.
Kuvamia kituo cha habari kafeli.
Vita vya shisha kafeli.
Vita vya madawa ya kulevya kafeli.
Jaribio la kumbambikizia Gwajima mtoto kafeli.
Kumteka Roma kafeli.
Jamani Upande wa Lisu ndio sasa kafeli zaidi tena zaidi.
Ushauri:
Omwana wa malanja nikikushauri utanisikia?
Mara nyingi ukitumwa mission na mafia ukifail miserably kama huyu dogo lazima wakudedishe ma boss zako..huyu cjui wanamsibirisha nn
 
wtf... Thread ya Kijinga i thought una jambo jipya muhimu umebaini kumbe upuuzi tu kama mlevi wa chibuku... Watanzania acheni kuongea pumba hadharani ulitakiwa ukatoe maoni haya kwenye thread zilizopita na sio kuanzisha thread as if Umebaini kitu kipya....

FICHA UPUMBAVU WAKO.
Hayo ni maoni ya mleta mada.
Lugha chafu za nini?
 
wtf... Thread ya Kijinga i thought una jambo jipya muhimu umebaini kumbe upuuzi tu kama mlevi wa chibuku... Watanzania acheni kuongea pumba hadharani ulitakiwa ukatoe maoni haya kwenye thread zilizopita na sio kuanzisha thread as if Umebaini kitu kipya....

FICHA UPUMBAVU WAKO.
Mleta mada alichofanya ni kutia sauti mawazo ya watu wengi
I don't think you will understand this simple sentence
 
Ongea utakacho kwani unashuhudia uongo tu. Hivyo hakuna heshima atakupa mtu mwenye akili nzuri tafuta mashabiki wapumbavu watafurahia ulichoandika... kama hujui nchi inavyoendeshwa mnazania ni mchezo mchezo tu... mtasononeka hadi mpate midonda ya tumbo... Usidhanie siku utaamika ukute nchi imekuwa safi huko kwako ni kuchafu pekee...

jambo usilolijua ni bora kunyamaza kuliko ushuhuda wa uongo hakika utapotea.
Nchi haiendeshwi kwa kupiga watu risasi kwani yeye ni wa kwanza kuwa rais kwamba hatujawahi kuona marais wengine wanavyoongoza.
 
Kwa hiyo kuweka Picha ya makonda ndio anahusika au hamjui kuwa kufanya hivyo tunamwingiza Mr Melo kwenye matatizo?? Tuwe makini kwa sasa mitandao inafuatiliwa sana ndg zangu! Najua nitatukanwa kwa ushauri wangu kwa kuwa Mimi sijui ninacho kifanya;
 
Mungu amewakatalia na wakileta ukaidi,wataondoka wao!..Mungu hadhihakiwi
 
Back
Top Bottom