Kiwewe kizito chawakumba walioshiriki au kushirikishwa katika jaribio la kigaidi la kumuua Mh. Tundu Antiphas Lissu!


Hali ni mbaya.
 
Kiwewe ni kikubwa, ni nadra sana CDF kuitisha press conference hadi kuwe na tishio kubwa kwa nchi, katika maisha yangu sijawahi kuona Jaji Mkuu CJ akiitisha press kubishana na wananchi majukwaani masuala ya mahakamani kwanza yeye sio prosecutor wala DCI wala DPP, matukio haya yanaonyesha taharuki waliyonayo watawala kwa sasa.
 
Bora huyu unaemuita kuwa anashuhudia uongo kuliko wewe kiberiti unayetumika na wenye mikono michafu kuwasha moto kwenye nyasi mbichi.
 
Picha niliyoipata ni ukuu wa Mungu mbele ya shetani umejidhirisha kwa kupitia jaribio hili. Mwanadamu si kitu mbele ya Mungu
 
By the way tumeshachoka na huu wimbo wa lisu ...alijitakia mwenyew
 
Kuna wanaharakati waliuliwa na nchi haikubaki ikaenda mbele
 
President lissu kaombewa na dunia sio watanzania tu naamini dunia nzima sio wachafu na watanzania woote sio wachafu hakika upinzani umeshinda this is a win ....
 
Ngoja kwanza hebu twende taratibu !umesema wahusika wanatapata umewafahamu vipi na akina nani hao?
 
Mpumbavu ni wewe! Kwani huoni kuwa watu wameanza kuweweseka? Kule kutapatapa ni mwanzo wa utimilifu wa duwaa ya albadir iliyo somwa juzijuzi.
Mkuu achana na huyu mtu atakupotezea muda..
Hali ishakuwa ngumu
 
Mkuu mbona Povu nyingi au wewe ndio Muhisika
 
Na bado mtafarijiana sana lakini mwanzo wa mwisho wa walio panga kumuua Lissu umeshaonekana! Mara paap kiongozi wa wasio julikana kafa! Tutakula na kunywa mpaka asubuhi bill anatulipia Mungu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Machadema bana yanapenda kujifurahisha kweli. Hicho unachokiita kiwewe kizito kipo wapi? Unafikiri hili tukio la Kibaraka Lissu litabadili fikra za wazalendo kwenye utawala huu? Hakuna kitachobadilika na kwa kuwa hamuhitaji msaada kutoka upande wa pili basi muendelee kumuuguza mgonjwa wenu na sisi tutaendelea kulitumikia taifa kama kawaida haturudi nyuma na vibaraka wote lazima wanyooshwe!
 
Kumbe hawakuwasilisha michango ya Wabunge wakidhani hawezi kupona?

Mungu mkubwa hadi leo Lissu anaishi!
 
Ndio umeandika nini sasa!!?
 
Kisanduku changu cha mafaili kimepotea
 
Hv hizi clip CHADEMA wakizitumia kwenye kampeni serikali itakubali? Au tunaenda kuona serikalk ikipiga marufuku matumizi ya hotuba za maraisi wetu wapendwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…