Kiwewe kizito chawakumba walioshiriki au kushirikishwa katika jaribio la kigaidi la kumuua Mh. Tundu Antiphas Lissu!

wangoje lissu aje hapa wata tueleza ni kipi kilichowapekea kutaka kutuulia jemedari wetu na kamwe kwa mapenzi yao watakufa wao lissu ataishi wakishuhudia kwa macho yao ya kinafki
 
Upo vizuri mkuu umechambua vyema hata mimi nimeanza kuelewa yote hii inayofanyanywa na hawa wakubwa kumbe ni katika harakati za kumuokoa sizonje na hii kadhia..lakini haitowezena kila mtu mwenye akili timamu anaona na anaelewa kinachoendelea
 
Mungu anawapa kinywa now cha kunena hovyo soon wataanza kulana wao kwa wao
Au ndio albadir inafanya kaz
 
Yupi huyo anayejazwa upepo? Nini kimemsibu
 
Kwikwi imemkamatia pale Arusha inataka kumtoa roho.
Wanahaha kila kona ila kwa hakika hili la Lissu lazima liende nao wote waliohusika
Imekuwaje tena ....embu dadavua
 
Hivi vitisho watishie hawara zako jitoe tu fahamu mpaka sasa hivi anaenyooshwa ni nani hivi uzalendo ni kwa nchi au kwa maneno ya raisi .....ccm haitawali milele thats a promise na polisi hawatoweza kushinda nguvu ya umma thats another promise nnchi imewashinda sasa ni mwendo wa smg but its a matter of few more steps the weak will give up
 
Ila mleta uzi unafurahisha sana,kelele zote mnazopiga,mlitegemea msijibiwe kweli. Ngabu alionya hapa hapa semeni yote ila siku mkijibiwa mvumilie. Na hapa bado mzee mzima hajafungua mdomo.Raha ya mjadala ni kujadiliana bwana. Unataka useme wewe tu?
 
Yalivokuwa maropokaji kuna siku yatajisahau yataropoka tu,
 

Unamaanisha Dereva? ndio maana anapatiwa msaada wa kisaikolojia nje ya nchi kwa zaidi ya wiki mbili?
 
Mpumbavu ni wewe! Kwani huoni kuwa watu wameanza kuweweseka? Kule kutapatapa ni mwanzo wa utimilifu wa duwaa ya albadir iliyo somwa juzijuzi.
Mmeshakuwa chama cha albadir sasa. Ndio maana Dr. aliona mbali akasepa.
 
Matamko yatakuja mengi tusubirie na zaidi mpango wa watu wengi haunaga siri iko siku yatabumbuluka baada ya wao kusalitiana wenyewe kwa wenyewe ...damu ya mtu inayomwagika kwenye ardhi ambaye hana hatia haidondoki bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…