Kiwewe kizito chawakumba walioshiriki au kushirikishwa katika jaribio la kigaidi la kumuua Mh. Tundu Antiphas Lissu!

Kwa hiyo unajifariji kwa kuwa bado mnakula bata. Muulize 'Kaini' muuaji mwenzenu utapata jibu.
Babako ndio anatakiwa amuuliza Kaini labda alimkuta enzi zake. au unamaanisha Kane wa Mieleka na yule Mchezaji mpira Uingereza?
 
Roho zinawauma kwa azma yenu ovu kushindwa kuzaa matunda. Nguvu zenu za giza zimeshindwa...uwezo wa Mungu umetamalaki.
Bunduki ni nguvu za Giza? maajabu ya leo haya...Hoja yangu inatakiwa ijibiwe na hoja sio viroja!
 
Unaogopa eeh???haaaa haaaaaa haaaa
Wewe ulipokuwa unammimina Marisasi hukuujua huo msemo.
Bandugu Mutulie Basindano Babaingie Muzuri(in new muchepuko fake wa Diamond from Burundi)
Huyu Shahidi wa Uongo Mwingine tena humu...
 
Tulia sindano ikuingie vizuri kalioni
Ukiona mtu anaingilia jibu analopewa mwingine anatamani angejibiwa yeye watu kama hao huwa Wanawashwa washwa tu na ni wa kuwaacha.
 
Bunduki ni nguvu za Giza? maajabu ya leo haya... acheni viroba akili zenu zirejee... Hoja yangu inatakiwa ijibiwe na hoja sio viroja!
Pateni basi ujasiri wa kusema ni nyie mliommiminia risasi Mh. Tundu Antiphas Lissu na kama hamna huo ujasiri bunduki zenu hizo ndio nguvu zenu za giza na ndio maana kiwewe klizito kimewakumba. Kama zisingekuwa nguvu za giza mngefanikiwa lakini tangu lini giza ikashinda mwanga? Mbona hamjitokezi hadharani? Laana inawatafuna na iwatafune mashetani wakubwa nyie.
 
21433931_1969420299971796_3945963935768772608_n-jpg.593820

Duh! Eee bhana eeee !!!
 
Watu awaelewi maaa ya albadir, albadir huwa ni pamoja na kumpa nafuu alotendewa uovu pia kumtoa hadharani mshiriki wa mauaji ata akaonekana ni wazi anajikosha mbele ya umma, km walivyofanya hao
Swadaktaaa
 
Unampangia cha kufanya mtimiliza Dua? Kweli kua uyaone... watu wana viroja na dhihaka!
Tulia acha wenge mmeshaanza kujitokeza,ya nin mshipa wa tako ukutoke kutetea huu unyama aliofanyiwa kamanda Lissu kama ww sio mhusika?nyie tulie bhana...
 
Hapo nyuma kidogo niliwahi kuuliza, je yawezekana wakuu wa vyombo mbali mbali nchini walijua kilichokuwa kinaendelea kuhusu hatma ya Mh. Tundu Antiphas Lissu? Je yawezekana waratibu na watekelezaji walikuwa na uhakika Mh. Tundu Lissu hangeendelea kuwa hai saa 24 baada ya kumiminiwa idadi kubwa ya risasi mwilini?

Ukweli kwamba Mwenyezi Mungu kasikiliza maombi ya wengi na hivyo kumuepusha na kifo Mh. Tundu Antiphas Lissu, kumewachanganya wahusika hadi kila moja anaibuka na tamko lake! Je kuibuka kwa kauli na vitendo kutoka kwa viongozi mbalimbali huku hali ya Mh. Tundu Antiphas Lissu ikiendelea kuimarika, kunatupa picha gani?

Hali hii bila shaka imesababishwa na kiwewe kizito kilichowakumba washauri, waratibu, na watekelezaji wa jaribio la kigaidi la kumuua Mh. Tundu Antiphas Lissu! Tusubiri kuona mengi, kusikia mengi na kushuhudia mengi kwani walichopanga kutenda hawa waovu Mwenyezi Mungu kawakatalia na sasa wanahaha nafsi zao zikiwasuta!
Hao unaowaita wahusika ni akina nani? Nani ambaye umesikia akija na tamko lake? mbona sisi hatuwasikii?
Kuna rabia inayojijenga kwa sisi tunaogusha keyboard, kuamini kwamba tuna uelewa mkubwa. Suala la kuishi kwa Lissu halihitaji mjadala kwamba wengi wasingependa kusikia m-TZ yeyote apoteze maisha. Lakini kuna mashujaa sasa munaojipambanua kwamba muna uchungu saaana kuliko wengine na kuanza kuwaona wahusika bila hata muelekeo wa maana.

Nani unayedhani alihusika? Nani ana kiwewe? Nani anatoa matamko yanayotofautiana? All these are bull sheet of you! Lete mjadala wa kiutu uzima badala ya utabili wa mazingira yasiyokuwepo. Hata waje Scotland Yard, wanahitaji watu wakweli ili wapate pa kuanzia, siyo huu ushabiki wa tunawajua, wana kiwewe, etc.
 
Daima, albadir huwa haimuachi mtu salama.... [emoji12] [emoji12] [emoji12] ...lazima tupate majibu sahihi kwa wakati sahihi kwa wale wote waliohusuka directly ama indirectly ktk jaribio la kutaka kumuua MHE tundu Antipas lissu... [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Pateni basi ujasiri wa kusema ni nyie mliommiminia risasi Mh. Tundu Antiphas Lissu na kama hamna huo ujasiri bunduki zenu hizo ndio nguvu zenu za giza na ndio maana kiwewe klizito kimewakumba. Kama zisingekuwa nguvu za giza mngefanikiwa lakini tangu lini giza ikashinda mwanga? Mbona hamjitokezi hadharani? Laana inawatafuna na iwatafune mashetani wakubwa nyie.
Aliyesema kampiga bunduki mtu ni nani? acheni kuishi kwa hisia... hebu jitokeze na wewe basi sio kuja na apps za simu za kizamani ati mag3
 
Tulia acha wenge mmeshaanza kujitokeza,ya nin mshipa wa tako ukutoke kutetea huu unyama aliofanyiwa kamanda Lissu kama ww sio mhusika?nyie tulie bhana...
Nilichoongea mwanzo mkaanza shambulia si kwamba kilichompata lissu ni kizuri somehow yeye mwenyewe alishatambua na alijitoa mhanga.. nyie ndio mmekaza ati nafurahia kuumizwa lissu... mimi ndio maana nawaita mashahidi wa uongo... shuhudia mtu alichosema na sio ushabiki maandazi...
 
Hapo nyuma kidogo niliwahi kuuliza, je yawezekana wakuu wa vyombo mbali mbali nchini walijua kilichokuwa kinaendelea kuhusu hatma ya Mh. Tundu Antiphas Lissu? Je yawezekana waratibu na watekelezaji walikuwa na uhakika Mh. Tundu Lissu hangeendelea kuwa hai saa 24 baada ya kumiminiwa idadi kubwa ya risasi mwilini?

Ukweli kwamba Mwenyezi Mungu kasikiliza maombi ya wengi na hivyo kumuepusha na kifo Mh. Tundu Antiphas Lissu, kumewachanganya wahusika hadi kila moja anaibuka na tamko lake! Je kuibuka kwa kauli na vitendo kutoka kwa viongozi mbalimbali huku hali ya Mh. Tundu Antiphas Lissu ikiendelea kuimarika, kunatupa picha gani?

Hali hii bila shaka imesababishwa na kiwewe kizito kilichowakumba washauri, waratibu, na watekelezaji wa jaribio la kigaidi la kumuua Mh. Tundu Antiphas Lissu! Tusubiri kuona mengi, kusikia mengi na kushuhudia mengi kwani walichopanga kutenda hawa waovu Mwenyezi Mungu kawakatalia na sasa wanahaha nafsi zao zikiwasuta!
Kweli wauaji kitengo cha kina mbow wamechanganyikiwa, wanatamani asipone ndiyo maana walikasirika mno alivyopatiwa huduma ya kwanza
 
Hao unaowaita wahusika ni akina nani? Nani ambaye umesikia akija na tamko lake? mbona sisi hatuwasikii?
Kuna rabia inayojijenga kwa sisi tunaogusha keyboard, kuamini kwamba tuna uelewa mkubwa. Suala la kuishi kwa Lissu halihitaji mjadala kwamba wengi wasingependa kusikia m-TZ yeyote apoteze maisha. Lakini kuna mashujaa sasa munaojipambanua kwamba muna uchungu saaana kuliko wengine na kuanza kuwaona wahusika bila hata muelekeo wa maana.

Nani unayedhani alihusika? Nani ana kiwewe? Nani anatoa matamko yanayotofautiana? All these are bull sheet of you! Lete mjadala wa kiutu uzima badala ya utabili wa mazingira yasiyokuwepo. Hata waje Scotland Yard, wanahitaji watu wakweli ili wapate pa kuanzia, siyo huu ushabiki wa tunawajua, wana kiwewe, etc.
Hata kuandika hujui...Kiswahili taabu na Kiingereza taabu, wewe ni mzaliwa wa wapi au ni yale yale ya fent ford! Rudi kwanza shule ujue hata kuandika ndio utakuwa na uwezo wa kuelewa ujumbe uliokusudiwa. Huna tofauti na viwavi vilivyovamia JF siku za karibuni...unashusha hadhi ya jamvi letu, shame on you!
 
wtf... Thread ya Kijinga i thought una jambo jipya muhimu umebaini kumbe upuuzi tu kama mlevi wa chibuku... Watanzania acheni kuongea pumba hadharani ulitakiwa ukatoe maoni haya kwenye thread zilizopita na sio kuanzisha thread as if Umebaini kitu kipya....

FICHA UPUMBAVU WAKO.
Raha inakuja pale tu muovu anapoanza kupiga kelele ili kuinyamazisha nafsi yake inapomsuta kwa uovu aliopanga, kuratibu na kutekeleza halafu ukashindwa...
 
Back
Top Bottom