Mbalamwezi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2007
- 800
- 172
Hivi hawa watanadi sera zao kwa kuwakashifu wengine hadi lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well, possibly this is the onlyh line of attack he has on Mpendazoe......... Anasahau kampeni bado muda almost mwezi na nusu. By the way unawezaje kuanza kuzungumzia masuala ya familia ya kaka yako kwenye siasa??????
Hii inaonyesha ni jinsi gani huyu jamaa alivyo mtupu na mkosefu wa maadili. Hivi CCM kama chama kikongwe na kinachojidai kukubalika inakuwaje kinakuwa na wapiga debe wa aina hiiiiiiii? Kweli siasa za bongo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Is that you? .ooh! nimesahau, yeah, ni wewe.......wote akili zenu zinafanana.Aibu tupu! Unaombaje uongozi wa jamii, ilhali nyumba yako inakushinda kuongoza?
Aibu tupu! Unaombaje uongozi wa jamii, ilhali nyumba yako inakushinda kuongoza?
Aibu tupu! Unaombaje uongozi wa jamii, ilhali nyumba yako inakushinda kuongoza?
Aibu tupu! Unaombaje uongozi wa jamii, ilhali nyumba yako inakushinda kuongoza?
Duuh! Mwendo mdundoHana tofauti na pandikizi mwingine Yona Maro (shy) katika Friends of Slaa.
Sijui kwanini watu huwaamini watu wa namna hii