The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
n1)Sane,
2)Mbape,
3)Dembele,
4)Dyabala,
5)Neymar,
6)Isco na
7)Hazard
Hawa ndio watachuana sana kuwania Ballon d'Or,utawala wa Messi na CR7 utapoisha.
Sasa kama unasema winger equal to striker , na neymar equal to winger , saurez equal to striker , ie neymar equal to suarez , sasa unakataa nini mtu akiwalinganisha / kuwasindanisha ?Kwani winger sio striker?
Kama CR7 sio winger nitajie namba 11 wa Madrid sio ya jezi mgongoni nitajie anaepangwa namba 11 kwenye formation ya 4-3-3
Kumlinganisha neymar na Suarez ni sawa na kupamba mavi maua
Au kuforce Makalio kutafuna muwa
- ila kuwashindanisha wachezaji wa position tofauti michango yao katika team katika kuwania uchezaji bora ni sahihi ndyo maana NUER MANUER ameshawahi kukaa top 3 ya tuzo ya ballon d or
Naona kinachokusumbua ni hujui tofauti ya kulinganisha na kushindanisha
Too pathetic hujui mpira brother
Wewe ni mjinga unajua maana ya neno striker?Sasa kama unasema winger equal to striker , na neymar equal to winger , saurez equal to striker , ie neymar equal to suarez , sasa unakataa nini mtu akiwalinganisha / kuwasindanisha ?
Na italy , eg george weah , cannavaro,platin, shevamara nyingi wachezaji bora Wa dunia hutoka timu za la liga hispania
hata kama wakimshikia kwa kasi buthaitobadilisha huo ukweliHa ha ha ha ha ha, Mkuu watakuja kukushukia kwa kasi wafuasi wake
Mkuu kijana Mbappe nampata sana pia. Atawaburuza sana kama mambo yakiwa kama yalivyoMohammed Salah akichukuliwa na Madrid anaweza kuwemo kwenye hiyo orodha.
Mbappe namwelewa zaidi.
Kuna wachezaji wengi wazuri na wadogo; Hazard, Neymar, Mbappe, Pogba na Dyabala.
Kama ilikuwa ktk Mawazo yangu..Mohammed Salah akichukuliwa na Madrid anaweza kuwemo kwenye hiyo orodha.
Mbappe namwelewa zaidi.
PogbaSasa nimtoe nani hapo? Dybala yupo vizuri pia ila namtoa nani hapo?
Kama ilikuwa ktk Mawazo yangu..
Huyu Salah ni Messi mpya..
Kama atacheza LA liga..
MBAPE NI MZURI SAANA...Kwa muda wa miaka 10 hadi sasa ulimwengu wa soka umeshikiliwa na magwiji wawili wa soka wanaotesa uwanjani na kuchukua tuzo kubwa ya Ballon d'Or kwa muda wote huo. Lakini sasa kuna vipaji vipya vinaonekana ambavyo vitakuja kutesa kipindi hiki ambacho Messi na Ronaldo wanaelekea ukingoni.
Kuna wachezaji wengi wazuri na wadogo; Hazard, Neymar, Mbappe, Pogba na Dyabala. Hawa wanaonekana kuwa ni moto kwa sasa na watakuja kuchuana vikali sana kwenye tuzo hiyo ya ballon d'or tuzo kubwa kwenye ulimwengu wa soka.
Sasa wapenzi wa Kandanda: Je, kati ya hawa ni nani atakuja kuwatesa wenzake na kuchukua tuzo hii mara kadhaa kuzidi wote hawa? Au kuna mwingine tofauti na hawa ambaye anaweza kuwa mbabe wa tuzo hiyo?