Kizazi baada ya Messi na Ronaldo: Kati ya Neymar, Hazard, Mbappe, Dyabala na Pogba nani kutesa na tuzo ya ballon d'Or?

Kizazi baada ya Messi na Ronaldo: Kati ya Neymar, Hazard, Mbappe, Dyabala na Pogba nani kutesa na tuzo ya ballon d'Or?

1)Sane,
2)Mbape,
3)Dembele,
4)Dyabala,
5)Neymar,
6)Isco na
7)Hazard
Hawa ndio watachuana sana kuwania Ballon d'Or,utawala wa Messi na CR7 utapoisha.
n
Uko sahihi hila umewasahau Gabriel Jesus na salah
 
Kwani winger sio striker?

Kama CR7 sio winger nitajie namba 11 wa Madrid sio ya jezi mgongoni nitajie anaepangwa namba 11 kwenye formation ya 4-3-3


Kumlinganisha neymar na Suarez ni sawa na kupamba mavi maua
Au kuforce Makalio kutafuna muwa

- ila kuwashindanisha wachezaji wa position tofauti michango yao katika team katika kuwania uchezaji bora ni sahihi ndyo maana NUER MANUER ameshawahi kukaa top 3 ya tuzo ya ballon d or


Naona kinachokusumbua ni hujui tofauti ya kulinganisha na kushindanisha

Too pathetic hujui mpira brother
Sasa kama unasema winger equal to striker , na neymar equal to winger , saurez equal to striker , ie neymar equal to suarez , sasa unakataa nini mtu akiwalinganisha / kuwasindanisha ?
 
Sasa kama unasema winger equal to striker , na neymar equal to winger , saurez equal to striker , ie neymar equal to suarez , sasa unakataa nini mtu akiwalinganisha / kuwasindanisha ?
Wewe ni mjinga unajua maana ya neno striker?

Kama hujui litafute ulifahamu vizuri

Unaonekana ni kilaza sana
 
Neymar na Hazard viwango vyao vinaendana though wamezidiana vitu Fulani, Hazard ni mzuri zaidi kwenye dribbling wakati Neymar ni mzuri zaidi kwenye Skills na Kuscore. Neymar ananafasi zaidi ya kuchukua ballon kuliko Hazard kutokana na uwezo wake wa kufunga, though viwango vyao havijaachana sana
 
kuchukua hivi viatu lazima timu yako ifike kwa fainali,euro,kwa uefa,sasa hawa wachezaji tunajuaje vilabu na mataifa yao yatafika viwango hivyo!!
 
bb827f4632d7cf317657259297cd1155.jpg

Mchezaji bora wa Dunia ni huyu jamaa
 
Kwa muda wa miaka 10 hadi sasa ulimwengu wa soka umeshikiliwa na magwiji wawili wa soka wanaotesa uwanjani na kuchukua tuzo kubwa ya Ballon d'Or kwa muda wote huo. Lakini sasa kuna vipaji vipya vinaonekana ambavyo vitakuja kutesa kipindi hiki ambacho Messi na Ronaldo wanaelekea ukingoni.

Kuna wachezaji wengi wazuri na wadogo; Hazard, Neymar, Mbappe, Pogba na Dyabala. Hawa wanaonekana kuwa ni moto kwa sasa na watakuja kuchuana vikali sana kwenye tuzo hiyo ya ballon d'or tuzo kubwa kwenye ulimwengu wa soka.

Sasa wapenzi wa Kandanda: Je, kati ya hawa ni nani atakuja kuwatesa wenzake na kuchukua tuzo hii mara kadhaa kuzidi wote hawa? Au kuna mwingine tofauti na hawa ambaye anaweza kuwa mbabe wa tuzo hiyo?
MBAPE NI MZURI SAANA...
 
Back
Top Bottom