Nimegundua kuwa hujui mpira mkuu?
Ngoja nikusaidie tu kidogo Neymar ni winger na Suarez ni central striker sasa unaanzake kuwa compare kama una akili timamu?
Luis Suarez mlinganishe na Lewandosky,Benzema,Lukaku,Morata,Laccazetti, Cavani hawa wote ni ma central strikers
Neymar Jr mlinganishe na Cr7, Messi,Bale,Hazard,Sanchez,InsingeMartial,hawa wote ni wingers
Ungeficha ujinga wako mkuu na usirudie kusema mbele za watu utachekwa mno
Ungemuuliza hata mtoto wa mjomba wako maana najua unaishi kwa mjomba
Too pathetic.
Ww binafsi nilitaka nisikujbu huu ujinga uliandika hapa, lakini nimeona nikujibu, Kwanza hilo unaloilisema la kulingaisha wachezaji wanaocheza position moja ndio kwanza nalisikia kwao, na kama hilo lingefuatwa basi kila msimu tungekuwa na wachezaji bora kumi na moja bora na si mmoja lakini kila msimu uchaguliwa mchezaji mmoja bora mmoja,
ndio maana juzi juzi Ronaldo de lima , alisema wakati kipindi chetu kupata mchezaji bora ilikuwa ngumu Zaidi kuliko sasa, zamani tulikuwa Zidane, de lima, figo, rivaldo na baadae ronaldhino, sasa sijui ww hao wacheza wanacheza nafasi moja ndio yy alijinganishe nao
Kuhusu Cristiano Ronaldo hachezi winger, winger alikuwa anacheza akiwa Man u. madrid anacheza striker
Messi anacheza winger,main striker, second striker , sio sawa kusema anacheza winger tu , na ryan giggs utasemaje
(Nenda kwenda profile za wachezaji hao utaona kama unataka ushahidi)
Kingine kukumbusha wachezaji wengi uwanjani , wanapangwa kwenye position moja moja maalum, hila kucheza wanacheza position tofauti tofauti kwa sababu football ni mchezo wa kumove na kutafuta nafasi,( except kipa kidogo)
ndio maana beki utamkuta yuko mbele, forward utamkuta nyuma, etc
Kingine nakushauri jaribu kutafuta hoja za kumtetea Neymar hili watu wamkubali , kuliko kutafuta dosari na makosa wa watoa hoja wenzako, focus kwenye hoja kuu husika, kingine acha matusi na kashfa hivyo vitu kila mtu anaviweza , yaani unapotoa kashfa unaonekana umeishiwa hoja na kituko
Kubali kutofautiana kimawazo kwani kila mtu ana mawazo yake, zamani mm nilikuwa kama ww , nakumbuka tunaangalia euro 1996 iliofanyika England , nilikuwa nawachukia watu ambao hawaisupport Holland eti kwa kuwa Holland ina watu weusi ( kluivert na wenzake) bahati nzuri kuna braza mmoja akaniambia huwezi kuwapangia watu nani wamshangilie kwa hiyo kubali kutofautiana nao, ww unachotakiwa ni kujenga hoja ya kuwavuta kukubaliana na ww,
binafsi yule bro alinisaidia saana, mpaka sasa mm nikitofautiana na mtu naona sawa kwani kila mtu ana upeo wake
Kingine inaelekea unapenda ligi ya ubishani, yaani una utoto flani hivi
Weka record za Neymar hapa watu waone