CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,634
- 1,001
Kama Messi na Ronaldo watatoka ktk hizo nafasi basi hawa hapa ndo wananafasi kubwa kwa sasa,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Statistics zinaonesha neymar akiwa na miaka 25 ana goals Mara 3 ya hazard mwenye 27Are you serious mkuu! Au unajisemea tu...mara 7!!!!
View attachment 683755
Kama Messi na Ronaldo watatoka ktk hizo nafasi basi hawa hapa ndo wananafasi kubwa kwa sasa,
Sasa nimtoe nani hapo? Dybala yupo vizuri pia ila namtoa nani hapo?Dybala utamuachaje?
Cr7 mtoeSasa nimtoe nani hapo? Dybala yupo vizuri pia ila namtoa nani hapo?
messi na Ronaldo tumeshawatoa.Cr7 mtoe
tatizo ni aina ya magoli anayoyafunga,forwad anayefunga magoli pasipo kupiga chenga ku dribble yani magoli hayana nakshi mara nyingi havutii .CR7 mwenyewe kwa magoli anayofunga tungekuwa tumisha msahau bahati kinacho mbeba ni timu anayoichezea hivyo timu ikichukua kombe inakuwa ina mpa na yy advantage ya kuwa mchezaji boraKuna Fundi Wa kutia nyavuni mnamsahau, Fundi Harry Kane, ana misimu miwili tu ya kuchukua uchezaji bora Wa dunia
Duh! Martial ata uchezaji bora EPL hachukuiNaweza kuwaelewa handsome boy Neyma Jr au Martial tu
Maoni yako sio yangu ndugu..Duh! Martial ata uchezaji bora EPL hachukui
tuufiche wivu wetu jamani,wazungu hawawezi kuchezea pesa zao kwa ajili ya mtu asiye na uwezo.kuna watu wana mapungufu na mengine ni haya.pinga lakini usijiabishe hivyo.pogba anaweza kuwa hakufurahishi lakini ana uwezo wake.Sasa ukisikia crying for public sympathy ndio huku.
1. Lini Etoo alifukuzwa Barcelona?
2. Ubutu wa Pogba unahusiana nini na rangi yake?
3. Kwa hiyo kwako Coutinho nyuma ya Pogba sababu tu mnafanana rangi?
Tuchambue viwango vya wachezaji kama wanavyojidhihirisha day to day, rangi na historia tuwaachie wikipedia. Pogba na Hazard watafutieni shughuli zingine za kufanya
ndio washambuliaji sasa sio mashindano ya mchezaji bora ni ya mfungaji bora.View attachment 683755
Kama Messi na Ronaldo watatoka ktk hizo nafasi basi hawa hapa ndo wananafasi kubwa kwa sasa,
Lakini maoni yako ni ya kipuuziMaoni yako sio yangu ndugu..
Na mapenzi nayo yasikutie upofu. Najiaibishaje kwa kusema ukweli?tuufiche wivu wetu jamani,wazungu hawawezi kuchezea pesa zao kwa ajili ya mtu asiye na uwezo.kuna watu wana mapungufu na mengine ni haya.pinga lakini usijiabishe hivyo.pogba anaweza kuwa hakufurahishi lakini ana uwezo wake.