Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo kwa kuwa hakusema limitation ya mwaka na wewe unampenda Pogba basi utatumia 2011-2015 ulioitaja hapa kuniaminisha kuwa yeye ndio bora 2019? Una tatizo la mapenziHakuna alipoandika limitation ya mwaka hata mwakan au mwaka kesho kutwa mmoja ktk orodha hiyo akifanya poa anaibuka
Fake news from fake person
Ndo mchango wako katika hiliFake news from fake person
Si ndiyo alipoanzia au wewe umemjua aliporudi?Hivi wewe Pogba umeanza kumfaham akiwa united ama?
Huyo neymar kamzidi nini hazard?Sasa hazadi kamzidi kipi neymar?
Neymar ni winger sawa na hazard ambaye ni wingerHuyo neymar kamzidi nini hazard?
Hazard amecheza soka la ushindani miaka yake yote ya kujulikana kwake...huyo Neymar kacheza kwao Brazil halafu uje uwafananishe aisee?Neymar ni winger sawa na hazard ambaye ni winger
Neymar ana miaka 25 hazard 27
Neymar total carrear goals ana 300+
Hazard goals carrer ana 100 tu
Hapo nimetumia akili za standard two Ku make comparison
Usindani upi sasa ikiwa hafungi wala ha assist kumzidi neymar jr hilo soccer la ushindi limemsaidia nini?Hazard amecheza soka la ushindani miaka yake yote ya kujulikana kwake...huyo Neymar kacheza kwao Brazil halafu uje uwafananishe aisee?
Kuna mtu kashangaa kuona Jina la Pogba, hata mimi nilitaka kuuliza swali hilohilo. Je kwanza wewe unafungamana kwenye Timu gani? au wewe ni wa ile time yake?Kwa muda wa miaka 10 hadi sasa ulimwengu wa soka umeshikiliwa na magwiji wawili wa soka wanaotesa uwanjani na kuchukua tuzo kubwa ya Ballon d'Or kwa muda wote huo. Lakini sasa kuna vipaji vipya vinaonekana ambavyo vitakuja kutesa kipindi hiki ambacho Messi na Ronaldo wanaelekea ukingoni.
Kuna wachezaji wengi wazuri na wadogo; Hazard, Neymar, Mbappe, Pogba na Dyabala. Hawa wanaonekana kuwa ni moto kwa sasa na watakuja kuchuana vikali sana kwenye tuzo hiyo ya ballon d'or tuzo kubwa kwenye ulimwengu wa soka.
Sasa wapenzi wa Kandanda: Je, kati ya hawa ni nani atakuja kuwatesa wenzake na kuchukua tuzo hii mara kadhaa kuzidi wote hawa? Au kuna mwingine tofauti na hawa ambaye anaweza kuwa mbabe wa tuzo hiyo?
Dyabala akienda Barcelona
Nerymar Madrid
Usindani upi sasa ikiwa hafungi wala ha assist kumzidi neymar jr hilo soccer la ushindi limemsaidia nini?
Neymar Jr ni bora mara7 ya huyo hazard wako