Kizazi baada ya Messi na Ronaldo: Kati ya Neymar, Hazard, Mbappe, Dyabala na Pogba nani kutesa na tuzo ya ballon d'Or?

Kizazi baada ya Messi na Ronaldo: Kati ya Neymar, Hazard, Mbappe, Dyabala na Pogba nani kutesa na tuzo ya ballon d'Or?

Pogba huwezi kumuweka kwenye kundi la kina Hazard au Mbappe. au Hata Salah.
 
Hakuna alipoandika limitation ya mwaka hata mwakan au mwaka kesho kutwa mmoja ktk orodha hiyo akifanya poa anaibuka
Kwa hiyo kwa kuwa hakusema limitation ya mwaka na wewe unampenda Pogba basi utatumia 2011-2015 ulioitaja hapa kuniaminisha kuwa yeye ndio bora 2019? Una tatizo la mapenzi
 
Eden hazard , coutinho, na neymar ! Wote wanaweza kuja kuchukua uchezaji bora wa dunia mbeleni lakini hawataweza kuchukua kwa muda mrefu hivyo.

Maanake vipimo vya uchezaji bora wa dunia siku hizi ni kama taarabu yaani haieleweki- eleweki washambuliaji ndo wanapewa kipaumbele huku walinzi wanasahauliwa, pia kigezo cha kuwa mchezaji bora lazma timu yake iwe imeshinda makombe ni upumbavu, mchezaji anaweza kuwa mzuri sana lakini timu yake isipate kombe hiyo haiuondoi uzuri wake kiuhalisia.
 
4c7c01f24d734baa7033299b1604b9d9.jpg
Fake news from fake person
 
Nimekuwa nikifuatilia mechi za psg tangu alipohamia neymer, na nimejiridhisha kuwa Neymer is the no. 1 contender at the moment and not to the future
 
Neymar ni winger sawa na hazard ambaye ni winger
Neymar ana miaka 25 hazard 27
Neymar total carrear goals ana 300+
Hazard goals carrer ana 100 tu

Hapo nimetumia akili za standard two Ku make comparison
Hazard amecheza soka la ushindani miaka yake yote ya kujulikana kwake...huyo Neymar kacheza kwao Brazil halafu uje uwafananishe aisee?
 
Kwa muda wa miaka 10 hadi sasa ulimwengu wa soka umeshikiliwa na magwiji wawili wa soka wanaotesa uwanjani na kuchukua tuzo kubwa ya Ballon d'Or kwa muda wote huo. Lakini sasa kuna vipaji vipya vinaonekana ambavyo vitakuja kutesa kipindi hiki ambacho Messi na Ronaldo wanaelekea ukingoni.

Kuna wachezaji wengi wazuri na wadogo; Hazard, Neymar, Mbappe, Pogba na Dyabala. Hawa wanaonekana kuwa ni moto kwa sasa na watakuja kuchuana vikali sana kwenye tuzo hiyo ya ballon d'or tuzo kubwa kwenye ulimwengu wa soka.

Sasa wapenzi wa Kandanda: Je, kati ya hawa ni nani atakuja kuwatesa wenzake na kuchukua tuzo hii mara kadhaa kuzidi wote hawa? Au kuna mwingine tofauti na hawa ambaye anaweza kuwa mbabe wa tuzo hiyo?
Kuna mtu kashangaa kuona Jina la Pogba, hata mimi nilitaka kuuliza swali hilohilo. Je kwanza wewe unafungamana kwenye Timu gani? au wewe ni wa ile time yake?
 
Back
Top Bottom