Kizazi baada ya Messi na Ronaldo: Kati ya Neymar, Hazard, Mbappe, Dyabala na Pogba nani kutesa na tuzo ya ballon d'Or?

Kizazi baada ya Messi na Ronaldo: Kati ya Neymar, Hazard, Mbappe, Dyabala na Pogba nani kutesa na tuzo ya ballon d'Or?

sd.png


Kama Messi na Ronaldo watatoka ktk hizo nafasi basi hawa hapa ndo wananafasi kubwa kwa sasa,
 
Naweza kuwaelewa handsome boy Neyma Jr au Martial tu
 
Kuna Fundi Wa kutia nyavuni mnamsahau, Fundi Harry Kane, ana misimu miwili tu ya kuchukua uchezaji bora Wa dunia
tatizo ni aina ya magoli anayoyafunga,forwad anayefunga magoli pasipo kupiga chenga ku dribble yani magoli hayana nakshi mara nyingi havutii .CR7 mwenyewe kwa magoli anayofunga tungekuwa tumisha msahau bahati kinacho mbeba ni timu anayoichezea hivyo timu ikichukua kombe inakuwa ina mpa na yy advantage ya kuwa mchezaji bora
 
Sasa ukisikia crying for public sympathy ndio huku.
1. Lini Etoo alifukuzwa Barcelona?
2. Ubutu wa Pogba unahusiana nini na rangi yake?
3. Kwa hiyo kwako Coutinho nyuma ya Pogba sababu tu mnafanana rangi?

Tuchambue viwango vya wachezaji kama wanavyojidhihirisha day to day, rangi na historia tuwaachie wikipedia. Pogba na Hazard watafutieni shughuli zingine za kufanya
tuufiche wivu wetu jamani,wazungu hawawezi kuchezea pesa zao kwa ajili ya mtu asiye na uwezo.kuna watu wana mapungufu na mengine ni haya.pinga lakini usijiabishe hivyo.pogba anaweza kuwa hakufurahishi lakini ana uwezo wake.
 
braza.. unamueka mbape.... pogba na dyibal kwa vigezo gani....

kuwa serious baasi balloon sio mchezaji maarufu au anayechipukia.....


balloon ni mchezaj bora.... na mchakato wa Kumpata kwake... sio km uchaguz wa diwani bro
 
tuufiche wivu wetu jamani,wazungu hawawezi kuchezea pesa zao kwa ajili ya mtu asiye na uwezo.kuna watu wana mapungufu na mengine ni haya.pinga lakini usijiabishe hivyo.pogba anaweza kuwa hakufurahishi lakini ana uwezo wake.
Na mapenzi nayo yasikutie upofu. Najiaibishaje kwa kusema ukweli?

Kwa hiyo we kwako mtu akinunuliwa kwa pesa nyingi ndio bora, si ndio? Usijjipotoshe wewe, sio kila tarajio hutimia. Pogba alitazamiwa kuyafanya aliyokuwa akiyafanya Juve lkn haijawa...kwa lugha nyepesi, kiwango chake kimeshuka. Kwani Gareth Bale alivyonunuliwa kwa fedha nyingi alienda akampiku Ronaldo kwa ubora?

Wewe unaishi kwenye kumbukumbu ya huyu
upload_2018-1-25_9-51-13.jpeg


Kama unamzungumzia huyu ni sawa, lakini huyu sasa hatunaye tena. Sasa hivi tuna huyu
170px-Manchester_United_v_Zorya_Luhansk%2C_September_2016_%2807%29_-_Paul_Pogba_%28edited%29.jpg


Kinachokusumbua wewe ni MAZOEA na VIVULI vya mambo yaliyopita. Na si wewe tu, wapo mamilioni ya washabiki wa Arsenal ambao wanaugua ugonjwa kama wako. Hao siku zote watatazamia Arsene Wenger afanye jambo la maana. Wanashindwa kukubali kuwa
0050462000000258-3391519-image-a-35_1452336972658.jpg


ni mtu tofauti na huyu hapa chini

wenger-sitting.jpg


Kwa hiyo suala lako la Pogba kwangu sina maoni mapya.
 
Kwa sasa Neymar atawakimbiza hao madogo lakini potential ipo kwa Mbappe na Dyabala!!...Hazard na Salah itadepend na timu watakayoenda cheza zaid ya hizi za sasa!!..Pogba hana nafasi!.
 
Back
Top Bottom