Kizazi baada ya Messi na Ronaldo: Kati ya Neymar, Hazard, Mbappe, Dyabala na Pogba nani kutesa na tuzo ya ballon d'Or?

embu acheni kumfananisha Neymar Jr na vi2 wapuuuzi wengine labda dyabala kidogo
 
Mtoa Mada Hivi Unajua Hazard Ana Umri Wa Miaka Mingapi?
Sasa Ni enzi Zipi Hizo Atakazokuja Kutamba?

Hazard miaka = 27
Neymar miaka = 25
Dyabala miaka = 24
Mbappe miaka = 19
Messi miaka = 30
Ronaldo = 32

Kama Messi na Ronaldo wanatofautiana miaka miwili na wanachuana. Kwanini Hazard na Neymar wasichuane pamoja na hao wadogo wengine?
 
Hazard miaka = 27
Neymar miaka = 25
Dyabala miaka = 24
Mbappe miaka = 19
Messi miaka = 30
Ronaldo = 32

Kama Messi na Ronaldo wanatofautiana miaka miwili na wanachuana. Kwanini Hazard na Neymar wasichuane pamoja na hao wadogo wengine?
Coutinho vipi mkuu!!?
 
Hazard miaka = 27
Neymar miaka = 25
Dyabala miaka = 24
Mbappe miaka = 19
Messi miaka = 30
Ronaldo = 32

Kama Messi na Ronaldo wanatofautiana miaka miwili na wanachuana. Kwanini Hazard na Neymar wasichuane pamoja na hao wadogo wengine?


Sasa hivi Messi hashindani tena na Ronaldo!
Ronaldo Kashamaliza Zake! Na hao Kina Neymar na Wengine Bado hawajafikia Kiwango cha kushindana na Messi.

Kwahiyo Messi Hashindani na Yoyote Msimu huu Yupo peke Yake Na wala hakuna anaemkaribia.

The same Kwa Neymar Jr. Atakapoondoka Messi Neymar hatakua na Mpinzani Wa Kushindana nae
 
Una uhakika kamaliza? au unaongea tu mzee
 

From now ballon 3 zinamsubiri Messi.

Kuhusu neimar kusema hatakua na mpinzani sio kweli mark my words mkuu. Kama Dybala atahamia Barca basi wawili hao kuna uwezeksno mkubwa wakupokezana na bila kuwasahau Lcardi, Mbappe na Hazard. Lcardi naye aondoke ahamie timu za ushindani.
 
Ballon ya sasa ni ya kutengeneza kimaslahi maana haipo tena chini ya fifa...ni kagazetitu cha huko ufaransa ndo kunachagua mshindi.
 
UTAJAZA MAPICHA LAKINI BADO POGBA NI MCHEZAJI MKUBWA PALE MAN JAPO SIO MWANIA BALLON DIOR,UNATUMIA LUGHA ZA WASUSI.POGBA SIO WA CHINI UTAKAVYO.
 
Bado messi ana kama mi simu miwili mitaru ya kukipigah mbingu nao wasubiri kwanzah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…