Samoh Ayoub
Member
- Jun 20, 2015
- 5
- 1
embu acheni kumfananisha Neymar Jr na vi2 wapuuuzi wengine labda dyabala kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa Mada Hivi Unajua Hazard Ana Umri Wa Miaka Mingapi?
Sasa Ni enzi Zipi Hizo Atakazokuja Kutamba?
Coutinho vipi mkuu!!?Hazard miaka = 27
Neymar miaka = 25
Dyabala miaka = 24
Mbappe miaka = 19
Messi miaka = 30
Ronaldo = 32
Kama Messi na Ronaldo wanatofautiana miaka miwili na wanachuana. Kwanini Hazard na Neymar wasichuane pamoja na hao wadogo wengine?
Ni orodha ya majina machache tu nimetoa Mkuu, hata Coutinho naye anaweza kuchukua piaCoutinho vipi mkuu!!?
yupo timu kubwa sasa..Ni orodha ya majina machache tu nimetoa Mkuu, hata Coutinho naye anaweza kuchukua pia
Hazard miaka = 27
Neymar miaka = 25
Dyabala miaka = 24
Mbappe miaka = 19
Messi miaka = 30
Ronaldo = 32
Kama Messi na Ronaldo wanatofautiana miaka miwili na wanachuana. Kwanini Hazard na Neymar wasichuane pamoja na hao wadogo wengine?
Una uhakika kamaliza? au unaongea tu mzeeSasa hivi Messi hashindani tena na Ronaldo!
Ronaldo Kashamaliza Zake! Na hao Kina Neymar na Wengine Bado hawajafikia Kiwango cha kushindana na Messi.
Kwahiyo Messi Hashindani na Yoyote Msimu huu Yupo peke Yake Na wala hakuna anaemkaribia.
The same Kwa Neymar Jr. Atakapoondoka Messi Neymar hatakua na Mpinzani Wa Kushindana nae
Sasa hivi Messi hashindani tena na Ronaldo!
Ronaldo Kashamaliza Zake! Na hao Kina Neymar na Wengine Bado hawajafikia Kiwango cha kushindana na Messi.
Kwahiyo Messi Hashindani na Yoyote Msimu huu Yupo peke Yake Na wala hakuna anaemkaribia.
The same Kwa Neymar Jr. Atakapoondoka Messi Neymar hatakua na Mpinzani Wa Kushindana nae
Ni orodha ya majina machache tu nimetoa Mkuu, hata Coutinho naye anaweza kuchukua pia
Au GatusoAcha uzembe wewe mchezaji hapimwi kwa magoli unajua wakati KAKA anapewa ballon dor alikuwa na magoli mangapi?
UTAJAZA MAPICHA LAKINI BADO POGBA NI MCHEZAJI MKUBWA PALE MAN JAPO SIO MWANIA BALLON DIOR,UNATUMIA LUGHA ZA WASUSI.POGBA SIO WA CHINI UTAKAVYO.Na mapenzi nayo yasikutie upofu. Najiaibishaje kwa kusema ukweli?
Kwa hiyo we kwako mtu akinunuliwa kwa pesa nyingi ndio bora, si ndio? Usijjipotoshe wewe, sio kila tarajio hutimia. Pogba alitazamiwa kuyafanya aliyokuwa akiyafanya Juve lkn haijawa...kwa lugha nyepesi, kiwango chake kimeshuka. Kwani Gareth Bale alivyonunuliwa kwa fedha nyingi alienda akampiku Ronaldo kwa ubora?
Wewe unaishi kwenye kumbukumbu ya huyu
View attachment 683927
Kama unamzungumzia huyu ni sawa, lakini huyu sasa hatunaye tena. Sasa hivi tuna huyu
![]()
Kinachokusumbua wewe ni MAZOEA na VIVULI vya mambo yaliyopita. Na si wewe tu, wapo mamilioni ya washabiki wa Arsenal ambao wanaugua ugonjwa kama wako. Hao siku zote watatazamia Arsene Wenger afanye jambo la maana. Wanashindwa kukubali kuwa
![]()
ni mtu tofauti na huyu hapa chini
![]()
Kwa hiyo suala lako la Pogba kwangu sina maoni mapya.