Kizazi baada ya Messi na Ronaldo: Kati ya Neymar, Hazard, Mbappe, Dyabala na Pogba nani kutesa na tuzo ya ballon d'Or?

Kizazi baada ya Messi na Ronaldo: Kati ya Neymar, Hazard, Mbappe, Dyabala na Pogba nani kutesa na tuzo ya ballon d'Or?

Kujumuishwa katika kikosi cha 2017 wakati neymer hayupo
Mkuu unaongelea kikosi cha nini maana kama cha uefa hakuna hazard wala neymar...! Au unaongelea kikosi bora cha epl? Ok ata laliga neymar pia alikuwepo kikosi bora cha msimu
 
Kwa muda wa miaka 10 hadi sasa ulimwengu wa soka umeshikiliwa na magwiji wawili wa soka wanaotesa uwanjani na kuchukua tuzo kubwa ya Ballon d'Or kwa muda wote huo. Lakini sasa kuna vipaji vipya vinaonekana ambavyo vitakuja kutesa kipindi hiki ambacho Messi na Ronaldo wanaelekea ukingoni.

Kuna wachezaji wengi wazuri na wadogo; Hazard, Neymar, Mbappe, Pogba na Dyabala. Hawa wanaonekana kuwa ni moto kwa sasa na watakuja kuchuana vikali sana kwenye tuzo hiyo ya ballon d'or tuzo kubwa kwenye ulimwengu wa soka.

Sasa wapenzi wa Kandanda: Je, kati ya hawa ni nani atakuja kuwatesa wenzake na kuchukua tuzo hii mara kadhaa kuzidi wote hawa? Au kuna mwingine tofauti na hawa ambaye anaweza kuwa mbabe wa tuzo hiyo?
Okwi vs P.K.Tshishimbi!
 
Nimemjibu ivyo sababu amekuja na mipasho ya kuwa niende bongo movie

Ukweli unauma hazard miaka 27 goal 100

Neymar miaka 35 goals 347

Si ajabu hazard atastaafu bila UEFA
Sijakuelewa hiyo miaka ya Neymar!! 35 au?
 
WE MPUUZI, UNAMFANANISHAJE NEYMAR NA TAKATAKA KAMA POGBA, DYBALA?

HAPO NEYMAR HAKUNA ANAYEFANANA NAYE, UKIWAONDOA MESI NA CR, NEYMAR ATAKUWA ANACHUKUA TUZO KILA MWAKA KWA MIAKA 10 MFULULIZO.

Kwanza ukumbuke licha ya ushndani wa cr na messi, lakn bdo huyo dogo anakuwa shortlisted ktk watatu wanaowania.. Ebu mheshmu neymar.. Sema tu league anayochezea ni ya kishambaboy, na watu wanaipenda Psg kwa ajili ya kumwona neymar, cha kufanya hapo neymar ahamie timu kubwa ya spain au england

soma alichoandika mtoa mada mashuleni walimu wanapata shida sana daaa
 
Mungu alivyo fundi anaweza akampa KDB kabla ya hao wote japo hujamtaja.
 
Back
Top Bottom