kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Kamzidi KUTOKUWA na gemu ya SHOW OFF na pia kamzidi kama team player, sio mchoyo kama Neymar.
Anywany skills neymar yuko hundred milles above hazard yaani ukimtoa gaucho kwa skills anaefuatia ni neymar sasa hazard ana kipi cha ajabu?