Kizazi baada ya Messi na Ronaldo: Kati ya Neymar, Hazard, Mbappe, Dyabala na Pogba nani kutesa na tuzo ya ballon d'Or?

Kujumuishwa katika kikosi cha 2017 wakati neymer hayupo
Mkuu unaongelea kikosi cha nini maana kama cha uefa hakuna hazard wala neymar...! Au unaongelea kikosi bora cha epl? Ok ata laliga neymar pia alikuwepo kikosi bora cha msimu
 
Okwi vs P.K.Tshishimbi!
 
Nimemjibu ivyo sababu amekuja na mipasho ya kuwa niende bongo movie

Ukweli unauma hazard miaka 27 goal 100

Neymar miaka 35 goals 347

Si ajabu hazard atastaafu bila UEFA
Sijakuelewa hiyo miaka ya Neymar!! 35 au?
 

soma alichoandika mtoa mada mashuleni walimu wanapata shida sana daaa
 
Mungu alivyo fundi anaweza akampa KDB kabla ya hao wote japo hujamtaja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…