Kizazi baada ya Messi na Ronaldo: Kati ya Neymar, Hazard, Mbappe, Dyabala na Pogba nani kutesa na tuzo ya ballon d'Or?

Mashabiki wa PSG wamemzomea juzi juzi

Kanataka kuwapandilia walioitoa mbali psg. Last week psg ilishinda goli 8,

De maria alipiga 2
Cavani alipiga 2
Mtoto wa mama akapiga 3 na 1 ya penalt, alishindwa nini kumwachia cavani nayeye apige hattrick!!! Angelikuwa Messi ashamwachia apige penalt ili wote wapate hattrick. ana tamaa mno kabisho
 
Mbaka× mpaka √


Petit, seedorf, Baggio wote walikuwa wachafu tu

Kwa neymar wanaingia mara 60 kwa swagger
 
Neymar mpuuzi saana , halafu cavani angefunga ndio angekuwa top scorer wa muda wa psg , ile ni mbaya inavunja umoja wa timu
 
Neymar anasubiri saana kwa luis suarez , halafu ww unakuja kusema ooh neymar neymar
Nimegundua kuwa hujui mpira mkuu?

Ngoja nikusaidie tu kidogo Neymar ni winger na Suarez ni central striker sasa unaanzake kuwa compare kama una akili timamu?

Luis Suarez mlinganishe na Lewandosky,Benzema,Lukaku,Morata,Laccazetti, Cavani hawa wote ni ma central strikers

Neymar Jr mlinganishe na Cr7, Messi,Bale,Hazard,Sanchez,InsingeMartial,hawa wote ni wingers

Ungeficha ujinga wako mkuu na usirudie kusema mbele za watu utachekwa mno

Ungemuuliza hata mtoto wa mjomba wako maana najua unaishi kwa mjomba

Too pathetic.
 
Neymar mpuuzi saana , halafu cavani angefunga ndio angekuwa top scorer wa muda wa psg , ile ni mbaya inavunja umoja wa timu

Kamembania mwenzie kwakujuwa atakuwa top scorer, nakuhakikishia huyu dogo hafiki mbali kisoka. Mark my words mkuu. Ana ubinafsi sana, amekaa na messi longtime barca lakini cha ajabu ameshindwa kuiga tabia zake, au ni kitoto cha kusingiziwa????
 
Laiti kama ungejua nao ni binadamu kama wewe usingewaita TAKATAKA...
 
Huwezi fananisha neymer na majanga bwana...,...neymer yupo vizuri zaidi ya hayo majanga

OVER
 
Neymar ana chance kubwa ya kuchukua usukani baada ya Messi
 
Ww binafsi nilitaka nisikujbu huu ujinga uliandika hapa, lakini nimeona nikujibu, Kwanza hilo unaloilisema la kulingaisha wachezaji wanaocheza position moja ndio kwanza nalisikia kwao, na kama hilo lingefuatwa basi kila msimu tungekuwa na wachezaji bora kumi na moja bora na si mmoja lakini kila msimu uchaguliwa mchezaji mmoja bora mmoja,

ndio maana juzi juzi Ronaldo de lima , alisema wakati kipindi chetu kupata mchezaji bora ilikuwa ngumu Zaidi kuliko sasa, zamani tulikuwa Zidane, de lima, figo, rivaldo na baadae ronaldhino, sasa sijui ww hao wacheza wanacheza nafasi moja ndio yy alijinganishe nao

Kuhusu Cristiano Ronaldo hachezi winger, winger alikuwa anacheza akiwa Man u. madrid anacheza striker
Messi anacheza winger,main striker, second striker , sio sawa kusema anacheza winger tu , na ryan giggs utasemaje
(Nenda kwenda profile za wachezaji hao utaona kama unataka ushahidi)

Kingine kukumbusha wachezaji wengi uwanjani , wanapangwa kwenye position moja moja maalum, hila kucheza wanacheza position tofauti tofauti kwa sababu football ni mchezo wa kumove na kutafuta nafasi,( except kipa kidogo)
ndio maana beki utamkuta yuko mbele, forward utamkuta nyuma, etc

Kingine nakushauri jaribu kutafuta hoja za kumtetea Neymar hili watu wamkubali , kuliko kutafuta dosari na makosa wa watoa hoja wenzako, focus kwenye hoja kuu husika, kingine acha matusi na kashfa hivyo vitu kila mtu anaviweza , yaani unapotoa kashfa unaonekana umeishiwa hoja na kituko

Kubali kutofautiana kimawazo kwani kila mtu ana mawazo yake, zamani mm nilikuwa kama ww , nakumbuka tunaangalia euro 1996 iliofanyika England , nilikuwa nawachukia watu ambao hawaisupport Holland eti kwa kuwa Holland ina watu weusi ( kluivert na wenzake) bahati nzuri kuna braza mmoja akaniambia huwezi kuwapangia watu nani wamshangilie kwa hiyo kubali kutofautiana nao, ww unachotakiwa ni kujenga hoja ya kuwavuta kukubaliana na ww,

binafsi yule bro alinisaidia saana, mpaka sasa mm nikitofautiana na mtu naona sawa kwani kila mtu ana upeo wake
Kingine inaelekea unapenda ligi ya ubishani, yaani una utoto flani hivi
Weka record za Neymar hapa watu waone
 

samahani sana mjomba tunazungumzia vipaji " pele" maradona......messi basi WENGINE WOTE WAKAWAIDA wanampira wa kufundishwa... sio kipaji toka kwa mungu... NADHANI UNAJUA MPIRA VIZURI
 
Kwani winger sio striker?

Kama CR7 sio winger nitajie namba 11 wa Madrid sio ya jezi mgongoni nitajie anaepangwa namba 11 kwenye formation ya 4-3-3


Kumlinganisha neymar na Suarez ni sawa na kupamba mavi maua
Au kuforce mkundu kutafuna muwa

- ila kuwashindanisha wachezaji wa position tofauti michango yao katika team katika kuwania uchezaji bora ni sahihi ndyo maana NUER MANUER ameshawahi kukaa top 3 ya tuzo ya ballon d or


Naona kinachokusumbua ni hujui tofauti ya kulinganisha na kushindanisha

Too pathetic hujui mpira brother
 
Kwanza kabisa mpe heshima yake Neymar na ngoja ahamie madrid utaona moto wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…