Kizazi cha 1978-1985 hatuzeeki. Je, unajua sababu?

Kizazi cha 1978-1985 hatuzeeki. Je, unajua sababu?

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Tuliozaliwa 1978- 1985 tunarange kuanzia miaka 39-46, tumegoma kuzeeka, sijui kama mnafahamu sababu.

Iko hivi, kipindi hicho nchi ilipitia changamoto za kiuchumi, tulikuwa na vita ya iddi Amin hata baada ya vita hali haikuwa shwari, tuliendelea kufunga mikanda, uzalishaji wa chakula haukua vizuri, kama nchi tuliagiza chakula nje ya nchi, mnaukumbuka ugali wa Yanga??

Ni mpaka Mwinyi alipochukua nchi tukaanza kula vizuri, asikwambie mtu afya ya mtoto hutegemea genes za wazazi na chakula, hayo mambo mawili ndio huamua muonekano wa mtu ukubwani.

Tuliozaliwa miaka hiyo kuna virutubishi tulikosa matokeo yake tukatengeneza hybreed ya watu fulani, sio magiant sio wafupi, ni kuanzia futi 5 na inchi 4 mpaka futi 5 na inchi 8 wengi tuko humo.

Kukuta kijana wa 1980 ananyimwa shikamoo anapewa wa 1990 ni kawaida sana.
Orodha ya watu mashuhuri wanaoangukia humo ni kama hii
Dully Sykes, 45
Ridhwan Kikwete, 45
Mwana FA, 45
Queen Daren, 44
Single Mtambalike, 47
Ben Kinyaiya, 46
Maulid Kitenge, 48
Haji Manara, 50
Mange Kimambi, 46
Juma Nature 44
Ray kigosi 47.
Joti 45
Mpoki 47

Njoo kwa wadogo zetu sasa,binti miaka 25 kama veterani wa vita ya pili ya dunia,kijana miaka 30 ni kama mpigania uhuru,

Hawa ni watu ambao either nimesoma nao au nawafahamu kiundani tangu utotoni miaka ya rary 80's

Uzi huu hauwausu walioharibu afya zao kwa pombe kali na starehe zingine
 
Tuliozaliwa 1978- 1985 tunarange kuanzia miaka 39-46,tumegoma kuzeeka,sijui kama mnafahamu sababu.

Iko hivi,kipindi hicho nchi ilipitia changamoto za kiuchumi,tulikuwa na vita ya iddi Amin ,hata baada ya vita hali haikuwa shwari,tuliendelea kufunga mikanda,uzalishaji wa chakula haukua vizuri,kama nchi tuliagiza chakula nje ya nchi,mnaukumbuka ugali wa Yanga??
Ni mpaka mwinyi alipochukua nchi tukaaza kula vizuri,asikwambie mtu afya ya mtoto hutegemea genes za wazazi na chakula,hayo mambo mawili ndio huamua muonekano wa mtu ukubwani.

Tuliozaliwa miaka hiyo kuna virutubishi tulikosa matokeo yake tukatengeneza highbrrrf ya watu fulani,sio magiant sio wafupi,ni kuanzia futi 5 na inchi 4 mpaka futi 5 na inchi 8 wengi tuko humo.

Kukuta kijana wa 1980 ananyimwa shikamoo anapewa wa 1990 ni kawaida sana.
Orodha ya watu mashuhuri wanaoangukia humo ni kama hii
Dully Sykes ,45
Ridhwan Kikwete 45
Mwana FA, 45
Queen Daren ,44
Single mtambalike ,47
Ben kinyaiya ,46
Maulid kitenge, 48
Haji Manara ,50
Mange Kimambi ,46

Hawa ni watu ambao either nimesoma nao au nawafahamu kiundani tangu utotoni miaka ya rary 80's

Uzi huu hauwausu walioharibu afya zao kwa pombe kali na starehe zingine
SEMA hamtaki kuuzeeka japo no vibabu
 
Tuliozaliwa 1978- 1985 tunarange kuanzia miaka 39-46, tumegoma kuzeeka, sijui kama mnafahamu sababu.

Iko hivi, kipindi hicho nchi ilipitia changamoto za kiuchumi, tulikuwa na vita ya iddi Amin hata baada ya vita hali haikuwa shwari, tuliendelea kufunga mikanda, uzalishaji wa chakula haukua vizuri, kama nchi tuliagiza chakula nje ya nchi, mnaukumbuka ugali wa Yanga??

Ni mpaka Mwinyi alipochukua nchi tukaanza kula vizuri, asikwambie mtu afya ya mtoto hutegemea genes za wazazi na chakula, hayo mambo mawili ndio huamua muonekano wa mtu ukubwani.

Tuliozaliwa miaka hiyo kuna virutubishi tulikosa matokeo yake tukatengeneza highbrrrf ya watu fulani, sio magiant sio wafupi, ni kuanzia futi 5 na inchi 4 mpaka futi 5 na inchi 8 wengi tuko humo.

Kukuta kijana wa 1980 ananyimwa shikamoo anapewa wa 1990 ni kawaida sana.
Orodha ya watu mashuhuri wanaoangukia humo ni kama hii
Dully Sykes, 45
Ridhwan Kikwete, 45
Mwana FA, 45
Queen Daren, 44
Single Mtambalike, 47
Ben Kinyaiya, 46
Maulid Kitenge, 48
Haji Manara, 50
Mange Kimambi, 46

Hawa ni watu ambao either nimesoma nao au nawafahamu kiundani tangu utotoni miaka ya rary 80's

Uzi huu hauwausu walioharibu afya zao kwa pombe kali na starehe zingine
Unawataja watu wenye unafuu wa maisha nenda ndichi huko ukute watu wa 90s kama hautawapa shikamoo
 
Mkuu sema hao wamejipata tu, kuna mashangazi yana 45 mpk 50 ila ukilikuta limewaka plus make up, mbona unarusha swaga kabisa... likute nyumbani weekend ndo utajua hujui.. Acha kujiona kijana, jiandae uzee uko karibu
 
Chakula asilia, mazoezi ya kiasi, kuwa free stressed, kupumzisha mwili, kuwa Mcha Mungu huchelewesha sana uzee.

Ubinadamu ni kazi The humanity is a work.
Screenshot_2023-09-02-10-32-16-74_73617a28b0d3e7e6a04848a88f233e6b.jpg
 
Mkuu sema hao wamejipata tu, kuna mashangazi yana 45 mpk 50 ila ukilikuta limewaka plus make up, mbona unarusha swaga kabisa... likute nyumbani weekend ndo utajua hujui.. Acha kujiona kijana, jiandae uzee uko karibu
Mashangazi wengi niliosoma nao wana watoto wakubwa sana wanaelekea kuzeeka kuliko mama zao
 
Back
Top Bottom