Kizazi cha 1978-1985 hatuzeeki. Je, unajua sababu?

Kizazi cha 1978-1985 hatuzeeki. Je, unajua sababu?

Mke wangu nimemzidi umri ana umri nusu yangu na namuona ni mtu mzima kuliko mimi. Naona kama aninizeekea haraka wakati mi ni mkubwa mbali sana. Ningekuwa mhuni ningekuwa na mchepuko mdogo kuliko mke wangu ninayemuona sasa kazeeka wakati mi bado kijana mbichi na nahitaji mabinti wabichi wenzangu. Sie watoto wa zamani tulilishwa vyakula vya ajabu ukilinganisha na hawa watoto wanaokula mapochopocho mazuri. Njaa kali ya mwaka 1984 nchi ilikumbwa na uhaba mkubwa wa chakula, watu tulikula mpaka nyasi, mihogo michungu yenye sumu ya cyanide, pumba na vitu vingine vya ajabu ili tu tumbo kujaza tumbo usife njaa. Vyakula vya afya vingetoka wapi? Potelda mbali huenda tulidumaa miili mpaka akili, hizi tulizo nazo ni kidogo hazitustahili. Hawa watoto wa siku hizi wanakua haraka kwa kuwa wanakula vyakula bora na vipo wakati wote, muda wote ni kula tu njaa hawaijui
Nimecheka sana mkuu,umenikumbusha mbali sana nasikia huko vijijini walikuwa wanachemsha hata mavitu hayaliwi usiku watoto wanajua ni msosi wanapitiwa usingizi wanalala,siku imepita hiyo.tumetoka mbali,uzi huu watoto wa 2000 wanaona ni uongo kula vitu visivyolika kwa sasa,mkeo usimuache mkuu japo hata mimi nimevuta binti mbichi kabisa ndio tunaenda sawa
 
Mkidate vitoto huwa mnajionaga na nyie watoto, kumbe mtaani mnaonekana wazee mliochanganyikiwa😂 Hapo ukute unavaa jeans Modo na kunyoa kiduku kushindana na vijana😂😂
Vitoto havitoi shikamoo kindezi maana vinaliwa na mibaba mijitu mizima kama mleta uzi.

Kama upo kijijini basi ni kweli wewe una sura isiyozeeka ila kama upo daslam afu unasema vitoto havikupi shikamoo wakati vitoto vya daslam heshima kwa wakubwa ni <0%
 
Tuliozaliwa 1978- 1985 tunarange kuanzia miaka 39-46, tumegoma kuzeeka, sijui kama mnafahamu sababu.

Iko hivi, kipindi hicho nchi ilipitia changamoto za kiuchumi, tulikuwa na vita ya iddi Amin hata baada ya vita hali haikuwa shwari, tuliendelea kufunga mikanda, uzalishaji wa chakula haukua vizuri, kama nchi tuliagiza chakula nje ya nchi, mnaukumbuka ugali wa Yanga??

Ni mpaka Mwinyi alipochukua nchi tukaanza kula vizuri, asikwambie mtu afya ya mtoto hutegemea genes za wazazi na chakula, hayo mambo mawili ndio huamua muonekano wa mtu ukubwani.

Tuliozaliwa miaka hiyo kuna virutubishi tulikosa matokeo yake tukatengeneza highbreed ya watu fulani, sio magiant sio wafupi, ni kuanzia futi 5 na inchi 4 mpaka futi 5 na inchi 8 wengi tuko humo.

Kukuta kijana wa 1980 ananyimwa shikamoo anapewa wa 1990 ni kawaida sana.
Orodha ya watu mashuhuri wanaoangukia humo ni kama hii
Dully Sykes, 45
Ridhwan Kikwete, 45
Mwana FA, 45
Queen Daren, 44
Single Mtambalike, 47
Ben Kinyaiya, 46
Maulid Kitenge, 48
Haji Manara, 50
Mange Kimambi, 46

Hawa ni watu ambao either nimesoma nao au nawafahamu kiundani tangu utotoni miaka ya rary 80's

Uzi huu hauwausu walioharibu afya zao kwa pombe kali na starehe zingine
Kwa hiyo hizo ngozi tunazoona zimesinyaa na mvi kichwani sababu yake nini kama sio uzee
 
Vitoto havitoi shikamoo kindezi maana vinaliwa na mibaba mijitu mizima kama mleta uzi.

Kama upo kijijini basi ni kweli wewe una sura isiyozeeka ila kama upo daslam afu unasema vitoto havikupi shikamoo wakati vitoto vya daslam heshima kwa wakubwa ni <0%
Niko mkoa na sipewi shikamoo na najilia vitoto vya 2000, sina kitambi ,mvi nazificha na super black
 
Hicho ndio kipindi cha mlivyoanza kazi hamkudaiwa kulipia mkopo na mlipata ajira zenye ujira tena unachagua kazi (job security) kizazi hiki mzee wako aliuza shamba unarudi town bado unaomba pesa za kunyolea ndevu - Stress kila kona lazima mtu azeeke..., Maisha yenyewe ya kwenye Mitandao ya Kijamii (Facebook, Twitter na Insta) kila mdau akichungulia anaona yeye ndio yupo nyuma (kumbe watu wanaishi fake life)

Pamoja na kuwa na vichache, kubana mikanda na kuwa na less material things back then people were living a genuine happier life..... Na kuridhika ndio furaha na wingi au uchache wa vitu ni perception.....; People are living in a rat race right now..., chasing an illusion

NB:
Kipindi hicho protein was expensive sio sasa hivi broiler wapo wa kutosha, kina Kwashiorkor na Scurvy was order of the day sasa hivi havipo tena..., kwahio hapo constant inabakia maisha ya sasa ni magumu kwa vijana wa sasa kuliko maisha ya vijana wa jana...
 
ila hata hivyo wazee wa 1990 ni masela sana na mvi zao zilizojaa jaa sana kidevuni [emoji205]

kabinti kakisalimia shikamoo... kanaitikiwa vizuri tu markhabah na Mzee wa 1990, lakini Lazima katapigwa na ile salamu ya mambo vip uko poa....
ili kutengeneza mazingira ya uflat na kumuondoa mtoto hofu [emoji205]

Vizee vya 1990 ni visela nuksi sana aise dah [emoji205]
Dah yaan 90s unaita vizee..sisi wa 80s je [emoji3][emoji3]
 
Dah ya 90 unaita vizee..sisi wa 80s je [emoji3][emoji3]
wa 1980-89 hawana mvi, huwez jua kama ni wazee aisee....

ila wa 1990 dah:pedroP:
ukiviona lazma ushangae na ucheke, mvi zimeanzia kidevuni halafu vimekomaa sura kichizi.

na wa huku mikoani sasa ndio balaa, wachache lakini ambao ni wavivu wameiva sura kwasababu ya pombe chota na visungura hadi huruma :pedroP:
 
Hicho ndio kipindi cha mlivyoanza kazi hamkudaiwa kulipia mkopo na mlipata ajira zenye ujira tena unachagua kazi (job security) kizazi hiki mzee wako aliuza shamba unarudi town bado unaomba pesa za kunyolea ndevu - Stress kila kona lazima mtu azeeke..., Maisha yenyewe ya kwenye Mitandao ya Kijamii (Facebook, Twitter na Insta) kila mdau akichungulia anaona yeye ndio yupo nyuma (kumbe watu wanaishi fake life)

Pamoja na kuwa na vichache, kubana mikanda na kuwa na less material things back then people were living a genuine happier life..... Na kuridhika ndio furaha na wingi au uchache wa vitu ni perception.....; People are living in a rat race right now..., chasing an illusion

NB:
Kipindi hicho protein wa expensive sio sasa hivi broiler wapo wa kutosha ma kwahio kina Kwashiorkor na Scurvy was order of the day sasa hivi havipo tena..., kwahio hapo constant inabakia maisha ya sasa ni magumu kwa vijana wa sasa kuliko maisha ya vijana wa jana...
Point zako zinaleta maana na zina ukweli
 
wa 1980-89 hawana mvi, huwez jua kama ni wazee aisee....

ila wa 1990 dah:pedroP:
ukiviona lazma ushangae na ucheke, mvi zimeanzia kidevuni halafu vimekomaa sura kichizi.

na wa huku mikoani sasa ndio balaa, wachache lakini ambao ni wavivu wameiva sura kwasababu ya pombe chota na visungura hadi huruma :pedroP:
Dah haya maisha haya
 
Back
Top Bottom