alumelunda
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 753
- 918
Kuna kaukweli fulani hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HuyuTuliozaliwa 1978- 1985 tunarange kuanzia miaka 39-46, tumegoma kuzeeka, sijui kama mnafahamu sababu.
Iko hivi, kipindi hicho nchi ilipitia changamoto za kiuchumi, tulikuwa na vita ya iddi Amin hata baada ya vita hali haikuwa shwari, tuliendelea kufunga mikanda, uzalishaji wa chakula haukua vizuri, kama nchi tuliagiza chakula nje ya nchi, mnaukumbuka ugali wa Yanga??
Ni mpaka Mwinyi alipochukua nchi tukaanza kula vizuri, asikwambie mtu afya ya mtoto hutegemea genes za wazazi na chakula, hayo mambo mawili ndio huamua muonekano wa mtu ukubwani.
Tuliozaliwa miaka hiyo kuna virutubishi tulikosa matokeo yake tukatengeneza hybreed ya watu fulani, sio magiant sio wafupi, ni kuanzia futi 5 na inchi 4 mpaka futi 5 na inchi 8 wengi tuko humo.
Kukuta kijana wa 1980 ananyimwa shikamoo anapewa wa 1990 ni kawaida sana.
Orodha ya watu mashuhuri wanaoangukia humo ni kama hii
Dully Sykes, 45
Ridhwan Kikwete, 45
Mwana FA, 45
Queen Daren, 44
Single Mtambalike, 47
Ben Kinyaiya, 46
Maulid Kitenge, 48
Haji Manara, 50
Mange Kimambi, 46
Juma Nature 44
Ray kigosi 47.
Joti 45
Mpoki 47
Njoo kwa wadogo zetu sasa,binti miaka 25 kama veterani wa vita ya pili ya dunia,kijana miaka 30 ni kama mpigania uhuru,
Hawa ni watu ambao either nimesoma nao au nawafahamu kiundani tangu utotoni miaka ya rary 80's
Uzi huu hauwausu walioharibu afya zao kwa pombe kali na starehe zingine
Kapatia lkn kidogo vitunguu vimezidi chumvi 😅😅😅Bina Chumchang Changchum unaitwa huku. 😂
NakaziaUongo mtupu
Nyie si ndo wazazi wetu sisi wa 2000s mbona tunawaona mnavyozeeka
Sio dhambi kuzeeka
Mimi 39 nilienda kwa wadogo zangu kuwatembelea nipo ndani nawasikia majira waki waambia wadogo zangu tume mpaka yule mdogo wenu kamuulizeni nilishtuka sana yani Wadogo zangu leo wanakuwa kaka zanguMimi 37.
Mdogo wangu wa 92 hunitambilisha mimi kama mdogo wake
🤣🤣🤣 🙌Uongo mtupu
Nyie si ndo wazazi wetu sisi wa 2000s mbona tunawaona mnavyozeeka
Sio dhambi kuzeeka
🤣🤣🤣Nakazia
Aisee mtu haulizi. Direct kwa macho anaona mkubwa ni mdogo na mdogo ni mkubwa!Mimi 39 nilienda kwa wadogo zangu kuwatembelea nipo ndani nawasikia majira waki waambia wadogo zangu tume mpaka yule mdogo wenu kamuulizeni nilishtuka sana yani Wadogo zangu leo wanakuwa kaka zangu
Huyu mwamba Kagoma kabisa kuzeeka😀Chakula asilia, mazoezi ya kiasi, kuwa free stressed, kupumzisha mwili, kuwa Mcha Mungu huchelewesha sana uzee.
Ubinadamu ni kazi The humanity is a work.View attachment 2984487
Hako kajamaa kana 50 samthingi eee..hakazeekiiiiChakula asilia, mazoezi ya kiasi, kuwa free stressed, kupumzisha mwili, kuwa Mcha Mungu huchelewesha sana uzee.
Ubinadamu ni kazi The humanity is a work.View attachment 2984487
Kumbe wa 90 nao niwazee? Sikujuaila hata hivyo wazee wa 1990 ni masela sana na mvi zao zilizojaa jaa sana kidevuni 🐒
kabinti kakisalimia shikamoo... kanaitikiwa vizuri tu markhabah na Mzee wa 1990, lakini Lazima katapigwa na ile salamu ya mambo vip uko poa....
ili kutengeneza mazingira ya uflat na kumuondoa mtoto hofu 🐒
Vizee vya 1990 ni visela nuksi sana aise dah 🐒
Sijui akipigilia bao anapelekaga mbili chaliWazee mmeanza kufarijiana
Kama Manara kumbe ana 50 tu,na ule uzee 🤦♀️
Chakula asilia, mazoezi ya kiasi, kuwa free stressed, kupumzisha mwili, kuwa Mcha Mungu huchelewesha sana uzee.
Ubinadamu ni kazi The humanity is a work.View attachment 2984487
yaani kwa facial expressions na body languages, wa 1990 ni wazee kuliko wa 1989 kurudi nyuma. yaani vipara vya kutisha na mvi za kufa mtu videvuni 🐒Kumbe wa 90 nao niwazee? Sikujua
Mbona Suleiman Jaffo kamzidi umri lakini utadhani mid 20s?Pharrel sijui anakulaga nini huyu kiumbe,muweke na LL COOL J hawa watu hawazeeki miaka na miaka wapo hivyo hivyo.