Kwahio manara kazeeka ila mama yako ni kama dada yako😂Haji Manara kazeeka kichizi usiangalie hizo picha zilizopigwa filter, ila mama yangu pia yuko Age hiyo nikiwa nae watu wanajua ni Dada yangu.
Yeah Manara kachakaaKwahio manara kazeeka ila mama yako ni kama dada yako😂
ila hata hivyo wazee wa 1990 ni masela sana na mvi zao zilizojaa jaa sana kidevuni 🐒Tuliozaliwa 1978- 1985 tunarange kuanzia miaka 39-46, tumegoma kuzeeka, sijui kama mnafahamu sababu.
Iko hivi, kipindi hicho nchi ilipitia changamoto za kiuchumi, tulikuwa na vita ya iddi Amin hata baada ya vita hali haikuwa shwari, tuliendelea kufunga mikanda, uzalishaji wa chakula haukua vizuri, kama nchi tuliagiza chakula nje ya nchi, mnaukumbuka ugali wa Yanga??
Ni mpaka Mwinyi alipochukua nchi tukaanza kula vizuri, asikwambie mtu afya ya mtoto hutegemea genes za wazazi na chakula, hayo mambo mawili ndio huamua muonekano wa mtu ukubwani.
Tuliozaliwa miaka hiyo kuna virutubishi tulikosa matokeo yake tukatengeneza highbreed ya watu fulani, sio magiant sio wafupi, ni kuanzia futi 5 na inchi 4 mpaka futi 5 na inchi 8 wengi tuko humo.
Kukuta kijana wa 1980 ananyimwa shikamoo anapewa wa 1990 ni kawaida sana.
Orodha ya watu mashuhuri wanaoangukia humo ni kama hii
Dully Sykes, 45
Ridhwan Kikwete, 45
Mwana FA, 45
Queen Daren, 44
Single Mtambalike, 47
Ben Kinyaiya, 46
Maulid Kitenge, 48
Haji Manara, 50
Mange Kimambi, 46
Hawa ni watu ambao either nimesoma nao au nawafahamu kiundani tangu utotoni miaka ya rary 80's
Uzi huu hauwausu walioharibu afya zao kwa pombe kali na starehe zingine
Pharrel sijui anakulaga nini huyu kiumbe,muweke na LL COOL J hawa watu hawazeeki miaka na miaka wapo hivyo hivyo.Chakula asilia, mazoezi ya kiasi, kuwa free stressed, kupumzisha mwili, kuwa Mcha Mungu huchelewesha sana uzee.
Ubinadamu ni kazi The humanity is a work.View attachment 2984487
Fataki, Mzee wa hovyo anapewaje shikamoo🤣🤣🤣 Ukute wanahadithiana jinsi zivu lilivyo na mvi😂😂😂 tutoto twenyewe twa siku hizi hatuna adabu 🤣🤣🤣Mbona hawanipi shikamoo,na nagonga tubinti twa 2006
Kwaio mh. Ridhwan alikosa virutubushi utotoni sio ??Tuliozaliwa 1978- 1985 tunarange kuanzia miaka 39-46, tumegoma kuzeeka, sijui kama mnafahamu sababu.
Iko hivi, kipindi hicho nchi ilipitia changamoto za kiuchumi, tulikuwa na vita ya iddi Amin hata baada ya vita hali haikuwa shwari, tuliendelea kufunga mikanda, uzalishaji wa chakula haukua vizuri, kama nchi tuliagiza chakula nje ya nchi, mnaukumbuka ugali wa Yanga??
Ni mpaka Mwinyi alipochukua nchi tukaanza kula vizuri, asikwambie mtu afya ya mtoto hutegemea genes za wazazi na chakula, hayo mambo mawili ndio huamua muonekano wa mtu ukubwani.
Tuliozaliwa miaka hiyo kuna virutubishi tulikosa matokeo yake tukatengeneza highbreed ya watu fulani, sio magiant sio wafupi, ni kuanzia futi 5 na inchi 4 mpaka futi 5 na inchi 8 wengi tuko humo.
Kukuta kijana wa 1980 ananyimwa shikamoo anapewa wa 1990 ni kawaida sana.
Orodha ya watu mashuhuri wanaoangukia humo ni kama hii
Dully Sykes, 45
Ridhwan Kikwete, 45
Mwana FA, 45
Queen Daren, 44
Single Mtambalike, 47
Ben Kinyaiya, 46
Maulid Kitenge, 48
Haji Manara, 50
Mange Kimambi, 46
Hawa ni watu ambao either nimesoma nao au nawafahamu kiundani tangu utotoni miaka ya rary 80's
Uzi huu hauwausu walioharibu afya zao kwa pombe kali na starehe zingine
Umefafanua vyema mama🤣🤣🤣🤣Endelea kujidanganya, hakuna ambaye huwa anajiona kazeeka before 60 Mkuu. Hapo unajiona 'yanki' kumbe kiuhalisia wengine wanakuona umezeeka.
LL COOL J, kuna siri kubwa sana kuwa na furaha wakati wowote haijalishi ktk changamoto au changabaridi kimaisha.Pharrel sijui anakulaga nini huyu kiumbe,muweke na LL COOL J hawa watu hawazeeki miaka na miaka wapo hivyo hivyo.
Enzi za Nyerere wanasiasa nao waliishi maisha duni tu,kipindi rizwan anazaliwa baba yake alikuwa nadhani katibu wa CCM wilaya,sina uhakika,au alikuwa vitani uganda sijui,ila hali ilikuwa ngumu sana,nyerere mwenyewe aliishi maisha magumu,sasa wrwe kiongozi hata ungekuwa na hela dukani hakuna mayai,hakuna maziwa,hakuna sausage wala blue band,si ajabu rizwan aliishi maisha ya kawaida,maana JK hakuwa mtu wa kujitutumuaKwaio mh. Ridhwan alikosa virutubushi utotoni sio ??