Kizazi cha 1978-1985 hatuzeeki. Je, unajua sababu?

Mara ukutana na binti mzuri ubadilishane namba ,kabla haujatangaza ata nia gesi ya binti inaisha ghafla, kujaza mtungi mkubwa 60 elfu ,haujakaa vizuri mjomba wake anakufa ( michango) , apo nywele zimefumuka kwenda kilioni lazima zisukwe na nauli ya kwenda na kurudi, lazima utoke kipara.
 
Pharrel sijui anakulaga nini huyu kiumbe,muweke na LL COOL J hawa watu hawazeeki miaka na miaka wapo hivyo hivyo.

Pharrel sijui anakulaga nini huyu kiumbe,muweke na LL COOL J hawa watu hawazeeki miaka na miaka wapo hivyo hivyo.
Nimeanza kumjua Cool J mwaka 1987 kwenye ngoma yake I NEED LOVE,ajabu Mimi nimekua budah ila Ladies Love yupo vilevile
 
Hao kausha damu ndio balaa watoto wa 1995-2000 hapo
 
Njoo kwa wadogo zetu sasa,binti miaka 25 kama veterani wa vita ya pili ya dunia,kijana miaka 30 ni kama mpigania uhuru,

😂😂😂😂😂
 
siku zenu zimetimia farijianeni kwa maneno hayo
 
Uko sahihi kabisa,kizazi chetu ajira nje nje
 

Mbona manAra ni kama yupo 60s?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…