Kizazi cha 1978-1985 hatuzeeki. Je, unajua sababu?

JOTI, MAULID KITENGE na MANGE Hawatakaa wazeeke
 
Kuna member alisema kuzeeka sio dhambi

Maandiko yanasema kichwa chenye mvi ni taji la ufahari

😅😅😅
Sawa kabisa mkuu!

Ngoja kwanza tuuanze uzee kwa kupeleka moto kwa vitoto vya 2000. Hivi ujue hawa ni watoto wetu kabisa yani, kweli life linakimbia balaa.

Yaani kusema kweli sisi hatutakiwi kuwalala watoto wa 2000, 80s kwangu ni best kabisa, nikibugi sana 95 mwisho🤣🤣 sasa ndugu yangu mdukuzi anacheza na 2000? dah!
 
Oyaa mzeiya sio poa

Miaka inaenda kwa kasi sana

Vitoto vitamu sana ni kuvipelekea moto mnapoanza uzee mle mema ya nchi

Ng'ombe hazeeki maini 😅 😅 😅 😅

mdukuzi simpingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…