God Fearing Person
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 767
- 2,570
Mimi 33 wewe 26 yrs
Mimi bado 23 , sijawahi kuvuta bange ,kutumia pombe masigara nk usinepeleke mbele .Mimi 33 wewe 26 yrs
Kizazi laana kizazi cha kina lucas mashambwa2000's for life
Alafu utakuta una laana yako imezaliwa 2000's, msitufanyie hivyo wakuu.Kizazi laana kizazi cha kina lucas mashambwa
Inawezekana kabisa
Dogo amkia kwanza2000's for life
Skaamoo sangazišDogo amkia kwanza
Hiki kizazi ni balaa kina kajalaKizazi cha 1980 - hiki ndo kimezaa 2000s hawa ndo unakuta Mama na mtoto wanatembea na mtu mmoja.