Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Usikatae miaka yako kifupi we ni kizazi cha 2000 kijana wa hovyo mnao sumbua Twitter ๐๐๐ mi naishi 2000 ila sio mzaliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikatae miaka yako kifupi we ni kizazi cha 2000 kijana wa hovyo mnao sumbua Twitter ๐๐๐ mi naishi 2000 ila sio mzaliwa
Kina babalevel??Unataka kunambia kina babalevel na mwijaku ni kizazi Cha 90?
Sasa hao Si ndo machawa?Kina babalevel??
Kwa mara kwanza naijua JF mwaka 2008 kupitia mshikaji wangu kipindi hicho tunashinda sana internet cafe aliwahi kumpiga biti zito sana Baba yake mzazi akiwa Profesa chuo kikuu Dar es Salaam bila kujua walipishana kauli kipindi cha mjadala wa Richmond.Nilijua lazima utakuwa wa 2000 wewe na yule mwenzio tunataniana na watoto wetu jukwaani ila sio mbaya ๐๐
Huu mwaka unaupenda sana mkuu.2000's for life
huyo lazima Ali hama nyumbani.Kwa mara kwanza naijua JF mwaka 2008 kupitia mshikaji wangu kipindi hicho tunashinda sana internet cafe aliwahi kumpiga biti zito sana Baba yake mzazi akiwa Profesa chuo kikuu Dar es Salaam bila kujua walipishana kauli kipindi cha mjadala wa Richmond.
Siku mwanangu ka-log in account yake kupitia desktop ya nyumbani kwao akasahau ku-log out, yule Profesa alimkunja mwanangu akamwambia wewe fala ndio ulisema unaweza kunilisha mpaka ukoo wetu wote? Na pia ulikuwa unaniita bwana mdogo.
Humu watoto wengi mkuu sisi wa 70 huwa hatujibizani nao๐๐Kwa mara kwanza naijua JF mwaka 2008 kupitia mshikaji wangu kipindi hicho tunashinda sana internet cafe aliwahi kumpiga biti zito sana Baba yake mzazi akiwa Profesa chuo kikuu Dar es Salaam bila kujua walipishana kauli kipindi cha mjadala wa Richmond.
Siku mwanangu ka-log in account yake kupitia desktop ya nyumbani kwao akasahau ku-log out, yule Profesa alimkunja mwanangu akamwambia wewe fala ndio ulisema unaweza kunilisha mpaka ukoo wetu wote? Na pia ulikuwa unaniita bwana mdogo.
Yani kizazi Cha 80's wazae 2000's ? Balaa hili Hawa 80's hawakusoma? , nachojua 80's ndo dada na kaka waliocheza na kulea 90's.wanakuaje Tena wazazi wa 2000 wa 70's mmewapeleka wapi?Kizazi cha 80's kwa upande wa wanaume hiki kizazi wana familia stable ni kizazi cha mwisho mwisho kubahatika kupata tolea la wife materials., kwa upande wa wanawake ndicho kizazi kilichoanza kualibiwa akili na vuguvugu la ufeminia wengi wao ni masingo maza kutokana na kushindwa kuishi na mwanaume, ndicho kizazi cha wanawake kilichotuletea kizazi cha sasa maarufu kama watoto wa 2000
Kizazi cha 90's both men and women tupo vizuri kichwani
Kizazi cha 2000's hapa hakuna afadhali watoto wa kiume na wa kike wote vijana wa ovyo.
Nimezaliwa miaka ya 70,watoto wa 90 mnadhani mtanieleza Nini??..
Nasubiri wajeUmri ni namba tu mkuu kipo cha kuelezwa na MTU wa 90s
Nipo interested na nini kilitokea baada ya baba kumkunja mwana. Leta muendelezo mzee mwenzangu???Kwa mara kwanza naijua JF mwaka 2008 kupitia mshikaji wangu kipindi hicho tunashinda sana internet cafe aliwahi kumpiga biti zito sana Baba yake mzazi akiwa Profesa chuo kikuu Dar es Salaam bila kujua walipishana kauli kipindi cha mjadala wa Richmond.
Siku mwanangu ka-log in account yake kupitia desktop ya nyumbani kwao akasahau ku-log out, yule Profesa alimkunja mwanangu akamwambia wewe fala ndio ulisema unaweza kunilisha mpaka ukoo wetu wote? Na pia ulikuwa unaniita bwana mdogo.
tueleze kwanza unge penda kuelezwa kipi?!Nimezaliwa miaka ya 70,watoto wa 90 mnadhani mtanieleza Nini??..
Kwanini uchawa kizazi chenu umekua jambo la kujivunia,mwanaume kusifia wenzie,umbea,kuvaa mlegezo,hereni..tueleze kwanza unge penda kuelezwa kipi?!
Aliezaliwa 80 sasa hivi ana miaka 44 kama alizaa miaka 20 iliyopita maana yake mtoto wake atakua na miaka 24. Nina dada kazaliwa mwaka 82 binti yake mkubwa kamzaa mwaka 2003 sasa hivi ana miaka 21.Yani kizazi Cha 80's wazae 2000's ? Balaa hili Hawa 80's hawakusoma? , nachojua 80's ndo dada na kaka waliocheza na kulea 90's.wanakuaje Tena wazazi wa 2000 wa 70's mmewapeleka wapi?