Kizazi cha 1990s ndo kizazi cha dhahabu cha watu wanaojitambua

Kizazi cha 1990s ndo kizazi cha dhahabu cha watu wanaojitambua

Kizazi cha 80's kwa upande wa wanaume hiki kizazi wana familia stable ni kizazi cha mwisho mwisho kubahatika kupata tolea la wife materials., kwa upande wa wanawake ndicho kizazi kilichoanza kualibiwa akili na vuguvugu la ufeminia wengi wao ni masingo maza kutokana na kushindwa kuishi na mwanaume, ndicho kizazi cha wanawake kilichotuletea kizazi cha sasa maarufu kama watoto wa 2000

Kizazi cha 90's both men and women tupo vizuri kichwani

Kizazi cha 2000's hapa hakuna afadhali watoto wa kiume na wa kike wote vijana wa ovyo.
 
Back
Top Bottom