Kizazi cha 1990s ndo kizazi cha dhahabu cha watu wanaojitambua

Nilijua lazima utakuwa wa 2000 wewe na yule mwenzio tunataniana na watoto wetu jukwaani ila sio mbaya 😁😁
Kwa mara kwanza naijua JF mwaka 2008 kupitia mshikaji wangu kipindi hicho tunashinda sana internet cafe aliwahi kumpiga biti zito sana Baba yake mzazi akiwa Profesa chuo kikuu Dar es Salaam bila kujua walipishana kauli kipindi cha mjadala wa Richmond.

Siku mwanangu ka-log in account yake kupitia desktop ya nyumbani kwao akasahau ku-log out, yule Profesa alimkunja mwanangu akamwambia wewe fala ndio ulisema unaweza kunilisha mpaka ukoo wetu wote? Na pia ulikuwa unaniita bwana mdogo.
 
huyo lazima Ali hama nyumbani.
 
Humu watoto wengi mkuu sisi wa 70 huwa hatujibizani nao😁😁
 
Yani kizazi Cha 80's wazae 2000's ? Balaa hili Hawa 80's hawakusoma? , nachojua 80's ndo dada na kaka waliocheza na kulea 90's.wanakuaje Tena wazazi wa 2000 wa 70's mmewapeleka wapi?
 
Nipo interested na nini kilitokea baada ya baba kumkunja mwana. Leta muendelezo mzee mwenzangu???
 
Yani kizazi Cha 80's wazae 2000's ? Balaa hili Hawa 80's hawakusoma? , nachojua 80's ndo dada na kaka waliocheza na kulea 90's.wanakuaje Tena wazazi wa 2000 wa 70's mmewapeleka wapi?
Aliezaliwa 80 sasa hivi ana miaka 44 kama alizaa miaka 20 iliyopita maana yake mtoto wake atakua na miaka 24. Nina dada kazaliwa mwaka 82 binti yake mkubwa kamzaa mwaka 2003 sasa hivi ana miaka 21.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…